There was this club called changes in westy and it was a crowd puller hadi walikuwa wanaweka tent hapo nje juu it was ever packed. Kuna Friday flani tumeamua tuchafue huko ndio atleast for a weekend tusaree jug Daniels ya pale emirates. Don’t know if anyone knows about emirates here? The profits earned from that place opened Gabeez. Emirato (as popularly refered) was known for the fresh keg and tasty mutura.Wasee wa uko flaani walikuwa ma regular pale plus mlikuwa na freedom ya kukunywa kwa pavement on that street.
Ndume tulikuwa sita na madamme walikuwa watatu so hapa hakukuwa kusleki usijipate umerushwa kwa baridi.after a quick vote it was decided twende straight changes since kuna mboyz alikuwa ashatoanisha mzazi extra school fees so mfuko ilikuwa mnono but kama kawa democracy haiwork ikabidi beereaucracy imechukua the day. After Jug Daniels nne,na icebag za madame tukachukua mat za westy. Kuna toto pale nilikuwa nishaa amulia nakula. Kalikuwa ka 1gb kanaitwa Angie.kitu smart sana alafu alikuwa amevalia a short red dress alafu nywele inafunika mgongo nusu. Nyonyo nazo zinabounce na cleavage inakuchekesha tu. Smile nayo ni painkiller kivyake. I was a lucky fella to have such a stunning beauty clutching my left hand and walking magnificently besides me. Vile tuliingia tukajiseti karibu na VIP. Dj Stylez was spinning alafu the old kansoul was supposed to perform,jimwat,madtraxx and mejja. Steve, since ako na extra school fees kwa mfuko, akadai round mbili za kwanza ni zake. Vile alisema hivyo nikaona Joy amesongesha kiti pande ya steve, nikajua pale steve amemark perimeter yake na akaweka fence.kidogo kidogo mkono yake ilikuwa kwa mapaja nikajua pia fence ya stima iko installed. Confidence yangu ikakuwa boosted na actions za steve pia mimi nikajaribu na angie…mkono ilitupwa kama mende imepanda kwa pillow. Nikamuliza “baby,kwani form ni gani?” Akaanza zile za ati “I’m not that easy and cheap…unanibeba aje,thought you were a gentleman” nilikuwa tempted kumchapa baree but nyuma yangu nilikuwa najua marto amechill kuharibike anyakue msupa. Marto ni wale maboy wakujitetea na wewe. Atashow damme vile huwa unamcheza ata atamsaidia akuburst but uzuri akichapa vitu anashow damme alikuwa anataka tu puthy na story ilikuwa vako.
Mimi nikachapia Angie sikuangi na za ovyo na pia siwezi mbeba vicheap juu ata nishamlike na nimekuwa nimemlike for long ni vile nilikuwa nataka kuwa sure before nimshow. Nyuma yangu naskia tu marto ameisha yake yote. Nikaskizia Angie but damme amefura kama sausage ya ile base iko odeon ya chipo za 40bob,hizo sausage uaeza dhani ni punda huwa zime castratiwa alafu mnapikiwa. Ikabidii sasa nimerusha lugha full force. Nikamshow “ata nilikuwa nataka kubuy Nokia 1110i nikusurprise” damme kuskia hivyo smile ikachomokea kwa corner. Hizo siku 1110i ndio ilikuwa kusema.ulikuwa unaweka polyphonic tone ya vaileti,macmuga ama Cinderella alafu unawacha phone iring kabisa especially ukiwa kwa mat. Vile Angie aliskia 1110i inaeza come through akanishow “ni sawa tu, umenikosea but I’ll forgive you” nikaskia mkono imechukuliwa na ikaland kwa mapaja kama helicopter ya Ruto Mapua.
Vile drinks zilikam,nikadai princess wangu hawezi chapa black ice,nikaambia waiter alete wine na juu bado ya kuwa naive nikaitisha glass mbili.
Nikaona nichomoke kwa balcony nichape kafegi. Hapo ndio masaibu yangu ilianza…
Mtaniambia kama niendelee…