Masaibu ya senior bachelor Muthafari

Pole sana kwa @Muthafari . lakini mtu mkubwa anaishi aje na wazazi. Ati mzae akifanya shopping wewe pia unaenda unachukua @tall mnyama everywhere alikua anaishi na mamake.

[ATTACH=full]489731[/ATTACH]

It is normal for parents to live their lives through their children. The best medicine is always kuwa kichwa ngumu. hamia 3 towns away from my parents. Only come during the holidays. But still love your parents. Mine are controlling but ju ya bangi waliachana na mimi kabisa. Walisema mtu ya bangi ni kichwa ngumu

That guy needs to break free NOW, by moving out. Get his own single room, if need be, buy his first bed, meko and 2 sufurias, cups and plates. Ati “salo yangu naikula in peace”! That peace is short-lived. This is the time to use that money to invest for his future; his parents have lived their lives, and he still has his own to live. As long as he’s living in their house he will never grow, learn to stand on his feet, or do anything without doubting himself, or first getting his dad’s permission.

wazazi kama hawa ni manipulative sana lazima aliambiwa he will suffer if he charts his own path.

Watoto wa mama Convention

Sioni akikula.ngumu hata asipojitoa. Sounds like someone with a bigass inheritance lined up. Only downside ni akiingilia pombe na anasa.

you only get manipulated if you do not have an independent brain

sounds like a friend of mine. yeye after campus aliamua kurudi home. kwa bahati mzuri babake akakufa and being the only boy he has inherited everything including 100 acres. The guy is into serious farming. ile kitu ameavoid ni pombe and has settled with a kienyeji

wtf!?

it is what it is the dad was a liability 150% alcoholic

You are the bigger fool. Ukipata chance ya kwenda yues anajua aje. Just arrange your things and hop on a plane, mpigie na +1 ukishafika. Or look for a job far from home.

Ukipata Dem don’t take her home kama Hana ball like the last days before delivery, Mzee anaona huyu mrembo akichemua mtoto anatoka. Or better yet enda na Dem kama ashapata mtoto tayari if it’s in Kikuyu ukifanikiwa boy, muite majina za babako zote baptism name na middle name. Tuone vile atakataa.

Next problem…

Sisi kama alfa mails we always maintain respectful distance with parents :D:D:D:D

Seems like you appeared on earth as an adult.

Or you were raised in an environment that encouraged independence.

kukataa nini?

controlling nature won’t stop because the son has a family of his own.

Acheze kama yeye or whatever that means.

…napata chance ya kuenda USA anakataa… Kwani kuna mahali anafaa kusign? Hii story ume enable. Toka anza life .hio chance ya kwenda USA angeskia nikiwa airport if hii ndio tabia yao

:D:D:D lazima babake alikuwa mtiaji

:D:D:D muthafari, mzae ni talker na amesoma hio post yako jua leo ka supper kamekutoka

he was completely alcoholic. In fact ni pombe ilimaliza yeye. It was just by luck that he didnt sell his property that he had also inherited.

Mzee ni mtu ya Facebook pekee… Hio ndio Internet Peak yake.