masaibu ya Plastic paper bags ban

nilienda kununua mboga nipike na some eggs for supper, kuenda kwa mama mboga akasema atakata tu kama nimebeba container ama jwala yangu oherwise nichukue matawi niende nijikatie kwangu. Boy child nikate mboga yawa, nikasema haiwes mek. Hivyo ndivyo nilijipata kwa busheri.

Mabachelor wenzangu How do you hack with this ban especially when it comes to food stuff? Supermarket shopping si shida but vegies inaanza kuwa shida

2 Likes

first thing first,flying toilets at least zimepungua

7 Likes

Hawafungi na gazetti?

1 Like

fisked… choma matawi mzima mzima:D

Bro myoung alikam juzi bibi akamtuma skuma ngombe ikasema haiwezi beba kiondo baada ya ten mins ikarudi imekunja mkia bila mboga akakuja akaniangalia nikamlenga kama vile mtu hulenga dem umewai kamua ukikutana na yeye ukiwa na bibi na kusema ’ boss naskia njaa bana ’ na kucheka. Ili bidi boy child akuwe innovative akaambia bibi ampatie paper bag safi akakunja kwa mkono na akaenda akarudi na skuma .

1 Like

hehehe onger

Peasant manenos.

A real birrionaire:-
[ol]
[li]buys shops for veges from a supermarket, or dials a delivery.[/li][li]has a food processor ya kukatakata hizo sukuma.[/li][/ol]
Cunt relate.

ile container ya icecream

…to bad especially sahii kuna cholera. utaoa lini?

[ATTACH]124265[/ATTACH] shits called Tupperware

[ATTACH=full]124266[/ATTACH]

3 Likes

shida ndogo ndogo hizi, setup a backyard veggie garden

problem solved :D:D:D:D

hehe kisungu is not my first language and tupperware seems like a brand not the actual name

2 Likes

Usimind hii ni lingo za hapa kule hapa Kule ni voca pekee no flexxx
[ATTACH=full]124270[/ATTACH]

1 Like

nappy seal niaje.

1 Like

mimi siishi Mlolongo kama wewe. Kwa apartment ya Kilimani hatuna backyard gardens

last time nilifanya shopping ya groceries supermarket niliuziwa maembe ya 30 bob 90 bob… nobody became a birrionea by wasting money

1 Like

maybe you should consider relocating to mlolongo, but for now you can try a windowsill garden :D:D:D

1 Like

My dear nirushie throughpass yule beshte yako nimuoe akuwe akinipikia

Buy at a supermarket. Since Naivas ecobags ran out, I usually go there with one of those blue branded Nakumatt eco-friendly bags workers wa Naivas wacatch kabisa :D:D:D:D

MoU, nifanye VS kwanza, the rest will be as easy as 1-2-3