Masaibu ya Ndoa

When i got married, i taught nmefika heaven pale karibu na abrahamu na Yakobo lakini wapi.Marriage is worse than Kamithi Prison.I trusted her thinking that she will appreciate it,kumbe Mujinga nilikuwa nasomwa ufala.Nikiwa job,tunawhatsapp,videocall na usisahau nmetoka kwa hio nyumba asubuhi.This bitches are worst than the late jezebel,they are experts in psychology by default bana.
Mimi nikakuwa nugu,nikafanya makosa ya kumpea 250% guaranteed Trust thinking that it will save my marriage but I was an Idiot.Siku moja akanipigia simu “hey beb ukiona unaeza fika kwa nyumba saangapi?”…Men ata sikufikiria mara mbili nikimjibu “Beb naona nitafika hapo kitu saa nne usiku hivi.” Hapo Shetani ndo alitawala hiyo siku kwa kwa hiyo nyumba yangu.Yale walifanya,wacha tu.
Mboys nawaapea hii hekaya after nme-recover from Mental disorder nilipitia wakati niligundua that The so-called wife of mine"Ivon" was eaten by a certain mjengo guy, kijana mpararo hivi,na kiko na misuli kibao kama ya wakina the “rock” kwa movie.Huyu jamaa ukimwona,ni wale wako jobless,lakini time kufreestyle ndio ako nayo.Nyumba yake ilikuwa just opposite to mine,so kila mara naskia wanablush na Ivon wangu,nikidhani serikali bado iko imara kumbe ishadukuliwa long time ago.
This guy googled my wife hadi Ivon mwenywe anashindanga akinipea udaku kila mara za uyo jamaa.Kwa wale mmekuliwa mabibi,then you can relate this.Mwishowe Jamaa alihama venye aliskia kumenuka kwangu,huyu mujinga wangu nayye akamfuata.
I almost died that time.
Hii hekaya is a true life story na nimeandika nanmetumia phonetic language ndo ifikie peasants in the house…Drop your Related hekaya or experiences down there

Peasant war ingekua kwa ploti. Tuseme mtu wa mjei alinyanganya wochman bibi ama?

wah! pole omera… mimi sijui kama nimewahi kuliwa msichana but i was once threatened with “i’ll be away for a month on set in limuru and it’s cold there [SIZE=3](this part’s true)[/SIZE] so i really don’t know what will happen…”

Pole mzeiya, waphukulu ali penetrate hio pudesh ikawa na echo kama corridor.

You must be a very Dull and boring person.
Uliachwa babaa.

Heavy stuff man. Iza joh!

Pole…watu wamjengo sio mchezo zili vitu nimejionea mabibi za watu wakifanyiwa wacha tu.

Ile siku bibi yako ataanza kukupea udaku ya mwanaume mwingine anayemjua wewe jua serikali iko karibu kugeuzwa. Ama ilishageuzwa kitambo.

Mjamaa,bado uko na hii kunguru ama?Hujasema hapo.

Mimi sijui kama nakuliwa na nikijua anakanyaga frame, can’t stress myselufu with a person who is not my relative.

Bibi lazima afinywe but sio hivo
That was zero respect for you ningehama na kila kitu akienda sokoni

Pole man…I know the pain

Pole mblo,it pains

Kukuliwa sio issue, issue ni chenye unafanya after umejua bibi anamumunywa nje. You sound like the guys who try to “talk it out” or “patch thing up.”

Leta hekaya complete.

Na wewe ni jamaa short, hudunga abibas juu chini na unaishi pale berndora?

http://m.quickmeme.com/img/de/de5fbae9f4c3c57bc3747fe71d3544cbbddaa5f8911754e6bc4b336702f83443.jpg
cheating inevitable
If you ask the next 10 people you come into contact with if theyknow someone who has been cheated on or if they have ever cheated, one of those 10 responses is bound to be a yes.
first off,hukupeleka test drive you decided on the face value ju ya tamaa, you assumed because you have that piece of paper that binds your union that your marriage will stay in tact.boss, wadau wako hata ten years later.
2nd,never trust anyone at 100% ,even your own blood will try to ferk you up.Two reason I do not to trust,either i don’t know them or ,i know them.I bet you look at the tissue after you wipe,coz you don’t trust shieeet
3rd,a[SIZE=4]ccept your feelings-umekanyagiwa,there’s no come back to that
Don’t seek revenge,usitombe sistake ama beste yake-you will sound weak
Take Care of Yourself[/SIZE][SIZE=5],[/SIZE][SIZE=4]reactions arise due to stress such as nausea, diarrhea, sleep problems (too little or too much), difficulty concentrating, not wanting to eat, or overeating ,but buda,kula vizuri,piga tizi,utaishi vifiti[/SIZE]

He probably chewed her raw and nutted inside…I don’t know whether that helps but pole sana.Try and fuck her younger sister or best friend at all cost

Pole sana. But chances are, she will try and get you back. Be strong.

In the Holy Writ the great teacher has allowed divorce on grounds of adultery. Jifanye mwanaume ukae kwa io ndoa ukufe na stress na uletewe ukimwi.

Penda maisha yako, pea mtu talaka, ishi na amani ile miaka kidogo imebaki huku duniani.