Masaibu ya kuwa 6'2 ata by Ktalk standards

Juzi juzi kulikuwanga na midget ilikuwa inapita huku na dual handle ikifungua rohi venye maisha ya kuwa na so many shortcomings venye ni ngumu na ati uwesmake kuilive.
Tunasemanga the grass is always greener on the other side but sometimes it isn’t. Wacha nifungue roho.

  1. Kuwa 6’2 nikama kuwa pizza kwa bash haina food. You stick out. Everytime nikiingia pale kwa local ati nichape drinks na nichafue nyama wet fry unapata madame wote wanaangalia juu ukipita. You attract too much attention.

  2. Ukiwa tao unatumianga barabara kama gari. Ukipita juu ya pavement kazi ni kuduck overhead signs na hanging branches.

  3. Kupitana na watu kwa crowded pavements. The least you have to worry about ni hizo signs kuna watu wafupi pia. As you focus on the signs ata huangalii chini. All of a sudden unaonanga midget imetokea kati kati ya watu karibu magoti yako ipite na kichwa yake apate concussion. We are a danger to midget safety.

  4. Kuingia bus za githurai. To increase their earnings ni kama wanaongezanga viti halafu backrest inakuanga imeslant ni kama ni recliner. Space ya magoti ata midget hawezi pata jee mtu 6’2.

  5. Kutumiwa kama shade na watu wafupi. Sijui kama umewai kuwa umesimama place kukiwa na jua then unapata kadamd kamekuja next to you ukifikiria kanataka ukaongeleshe. Halafu saa zile unarusha mtama kanakushow ati, “who needs an umbrella when you have a tall guy around.” Right in the feels.

Hizo zingine nitawaachia muongeze.

Really :smiley: :smiley: …u do know that there are some guys who r like 6’9 aka @Top Cat …and you never know maybe some even taller

Are you slim too…?? If yes, what’s the theory behind slim tall guys having long thick dicks?? Asking for a friend.

Sande. :slight_smile:

My penis is big.

I hve never known this … You learn something new here every day

:slight_smile:

Kwani unaishi wapi kuna watu wafupi hivi? 6’2 sio height ya ku stick out

What about your bed?
And SJ beds?

Umesahau ile part ya kuulizwa maswali za kiufala kama “Mbona wewe huchezi basketball?”

:D:D:DBTW mbona??

Obviously kuna taller but ukifika huko 6’9 na 7 hao itabidi wangoe kiti ya driver wakuwe wanaendesha gari wakiwa backseat na kichwa nje ya sunroof.:D:D:D

Dnt find that so tall too…am crawling to 5’1 :stuck_out_tongue: and hve dated atleast 6’5

Si nilikwambia wewe ni body type yangu. Bring that petite body over to my place niingize rungu hadi ndani ya fallopian tube.

Mi niko poa na hii thread …though naona imejaa menstrual-blood holders …na niko poa.

Uuuuiiih… @Okwonkwo competition is stiff :D:p

karibu kila mtu ni midget kwangu anifotunately.

:D:D:D:D Kumbe si mimi tu… hiyo ndiyo opening statement kwa kila conversation with relatives.

6’2 is above average height. But I don’t think it makes anyone stand out considering the average talker is 6’0

Sasa mluhya labda akukule labia majora venye anakulanga kuku kienyeji anabakisha kucha na mukanye. Hapo nimeitikia. Lakini kama ni kunukisha nyumba tire jua watu kwa ploti hawatalala. :D:D:D

Bora wasiongee juu ya weight nguruwe hii:D:D

Masaibu yangu ni kuwa 6’2" 250 pounds, nikienda Ocha nawekewa food mingi kama Mluhya ako na njaa ya wiki mbili.