Kawaida 31st. Huwa siku ya ajab, vituko na sarakasi huwa tele, especially in urban settlements. Sasa hii 31st mboyz wangu amchapa makali kenjani zikamshow atoke aende local moja mtaa achape chupa kadhaa akingojea fireworks za kukaribisha mwaka mpya. Kufika baro akakutana msee wake wa nduthi… Huwa anampik mostly days amewasha zaida na ameingia ma late hours, hii ndo huwa umuhimu wa kuwa na msee wa nduthi on speed dial lest njoro kama wakumare na waku relieve of all your possesions. Yeye na pombe zake zikamshow aambie msee wa nduthi amwache yeye pia ambebe since the whole year amekuwa ana ride shotgun.
Since yeye ni regular jamaa akampa the bars wakaelekea local
Waka Maneuver kufika karibu na local… Out of no where kulikuwa na impromtu roadblock maya imepakiwa hapo kando ya baro… Polis wakamsamisha akaulizwa wapi reflective jacket, helmet, license etc… To cut the long story short… Jamaa alivukisha mwaka ndani ya cell na ikamgarimu 5k kupata freedom yake jana jioni. Saa hii anachoma hizo nguo na chuja alikuwa amevaa 31st. Zisimletee swara hii 2017.
9 Likes
amekuwa aki-ride pillion…
1 Like
Makosa ya nguo ni kuvaliwa. Mwambie angechoma akili
8 Likes
Alitumia kichwa kama helmet, riterarey
1 Like