MASAIBU YA KIPII

NB hii hekaya ni spinoff ya ile hekaya yangu inaitwa “THIS IS MY STORY”
***********************
Baada ya budangu kudead nilibaki na shosh nikiwa class three hapo, na unajua hapo ndio ukipii unakua mwingi nakumbuka kuna time nlikua nmeficha manguo kwa gate yetu badala ya kuenda shule…nikifika kwa gate naacha uniform hapo navaa za mtaa naenda kushinda video,halafu kwa hio video nilikua silipi kazi yangu ni kufagia asubuhi na kutumwa tumwa hapo ,saa saba kengele ikipigwa ya lunch mimi nlikua nafika home right on time nikiwa nmevaa uniform…na naanza kuchocha shosh vile masomo ilikua poa,nilikua nakanyaga chuo kama exam iko around the corner,hii tabia ikaendelea until day moja nilikutana na shosh nikiwa mtaani na aliacha nmeenda shule na juu alikua mzee angeweza kunichapa akaamua kunifundisha lesson chini ya maji.
day moja nikiwa katika harakati zangu za kutumwa pale video nikikutana na karao flani anaitwa juma,halafu si unajua ukiwa kipii vile ukiona police uwa unajifanya serious, nilipoona juma nikajifanya serious sana, kidogi msee akaninyooshea mkono nikama ananisalimia mimi na ujinga wangu nikafikiri nmekua celeb sana hadi makarao wananitambua nikamsalimia MAKOSA!..ivyo ndio boychild nilikamatwa,kumbe shosh aliona hana nguvu za kunidhibiti akaenda kunireport police,ili kichapo niliekwa tangu io siku sijawahi kua absent tena shule…


ffw>baada ya shosh kudead kwanza nilienda kukaa kwa my aunt nikaacha home ikiwa haina mtu…na buda alikua ameniachia shamba ya 15 acres,sasa kwa io shamba kuna mahali nmepakana na my uncle sasa vile nilienda kwa my uncle the guy took advantage akauza 2 acres zangu…mimi nikiwa kwa aunt nikaambiwa nikarudi home kuangalia nikapata wasee wanaeka fence hapo…nikawafukuza na panga na nikaenda kureport kwa sub chief… kumbe huyo subchief ndie alikua shahidi kwa io biashara so hakuna vile angeondekea uncle so akanifukuza kwa office juu waliona nko mdogo hakuna kitu naeza fanya,iliniumiza zaidi nlipogundua ata yule aunty yangu alikua part of that deal,nikaenda kwa chief nae akanifukuza kwa office so i decided kuchukua sheria mikononi…
i confronted my uncle kidogo mzee akatusi budangu na akanishow io kiherehere niko nayo ndio budangu alikua nae na nikicheza nitamfuata.hapo nikachukua gutona (jiwe) nikamuweka ya kichwa,nikaitiwa police nikaekwa ndani.but watu waliandamana kwa town nikaachiliwa.ndipo nilienda machakos kwa DC nikamueleza im orphan na my uncle ameungana na local chief kuniibia shamba, huyo dc alijam sana alichukua karatasi mbili ata chenye kiliandikwa sijui akaniambia nipeleke kwa kwa chief na assistant wake na wakisoma niwe hapo…nilipowapelekea nilijua ni kubaya vile walisweat…anway baada ya siku mbili nilirudishiwa shamba yangu…ilibidi my uncle apeane yake

45 Likes

u are my hero

2 Likes

wanaume hupitia mengi.

2 Likes

humbled bruh

1 Like

U tried man. Ukipii wako ulikusaidia kidogo but u nid to follow-up the papers ama title deeds lakini usiuze hiyo shamba. Isikuwe ulichezwa hapo Na hujuangi. Yale mashida umepitia yanaweza kuentice uiuze and that’s so bad. Work on developing the land or lease some portion, educate your daughter, do some farming or start up a bizz.

4 Likes

haha.ha

1 Like

15 acres?
Si uko na bahati jamaa.

1 Like

kaka sijui nikwambie nini.i am sorry ulipo ingia kijiji nilikuwa nakuweka class moja na mosa

4 Likes

title deed niko nayo

4 Likes

Umepitia maisha joh but keep up the spirit of not letting people f*uck with your stuff

i deserved it nilikua na upusi but kcr ndio nlikua nataka

6 Likes

by the way hii post itafanya nitafute hizo zingine zake. @Ice_Cube hebu saidia links tafadhali…

2 Likes

siwezi uza…labda acre moja ikifika 50million

1 Like

nimesoma hekaya zako zote but i salute you king man.blessed

worth reading.pewa ma links

Kweli umeyapitia mengi

You can’t earn respect unless u share ua story…I did the same by following Much of his posts.

4 Likes

Story kama izi ndo mi hulike

nmeandika kwa juu ya vile ulifanya jana…thanks bro

2 Likes

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/becky.64029/

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/this-is-my-story.64089/

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/youngest-single-father-true-story.63795/

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/youngest-single-father-2.63857/

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/masaibu-ya-hustler.64275/

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/masaibu-ya-hustler-2.64430/

3 Likes