Masaibu ya Hustler saidia

So here is a short back story. I recently lost my phone and had to procure replacement na mnavyo jua bottom up inatupeleka vizuri so buying new phone was out of bounds. Now here comes a fellow hustler in trouble and sells to me his mkopa phone for 5k with a balance of almost 20k to be paid. That deal was good coz nilikua nilipe 85 bob daily. Mimi na kiherehere yangu decided to procure services of a kenyan youtuber who would get me a code to eliminate the mkopa shit for 1k. Hehe hivo ndio thao ya safara ilikunywa maji. Kupoteza thao si shida but the fucker is still on youtube trying to con more fools like me which makes me feel compelled to revange. Wadau saidieni on ways to get back to him.
Youtube fala inajiita Mr Tech, Mkamba mjiga saidi Benson Mutunga 0794667348.
Disclaimer, msilete matusi sana I always knew there was a probability ya kuoshwa but mwanaume hutake risk banae.

3 Likes

Karibu Nairobi. Shamba ya mawe

4 Likes

Very useless idiot, wewe ni ghaseeer bottom feeder who deserves what you got. Ulinunua simu ukijua ni ya deni, halafu you try silly shortcuts to avoid paying debt ya wenyewe?.. what you deserve is jail for attempted robbery or even stonning.

3 Likes

:green_emoji: :green_emoji:jambas got jambassed by a bigger jambass…your only option is out jambas your jumbersor… if that makes sense

2 Likes

Michezo ya taon ni mambo ya kawaida.

Ni simu model gani? Mkopo ni ya kampuni gani?
Mkopa ya safaricom ama watu credit?
Ongea na mimi nikusaidie

Ungenunua tululu, ubaki na thao kadhaa ushukuru mwili.

1 Like

Bana.
Kuna fala zinanitusi hapo juu Nika hawajui watu huku inje Wana hema.

Keep Ur useless thoughts to yourself and continue living in Karen bila kusumbua wanainchi.

1 Like

you are a thug, jambass sugu, without a conscience, let us not hear you condemning a polishitian here or anywhere ever again… ghaseer…

punda kabisa! endelea kuhema kabisa, ukipumuliwa kwa maskio na jambass…

As you continue yapping here the mkopa thingy is no more and now that I have known the secret many more will suffer same fate.

See now? so you think that is a good or a bad thing?.. it makes you triumphant no, victory to the thieves, sindio?

Shenzi kabisa, low IQ bottom feeder with no vision mind at all…

Hehe wewe unakimbia kuita watu wezi nawewe mwenyewe unauzia watu phone 36k ati ni loan na phone kwa shop ni 13k. Wewe na mkopa zako ndo mwizi kubwa zaidi.
Kwanza nitaanza kuadvertise service ya kungoa hizi ufala zenyu za mkopa.

Ata siko biz ya simu mimi ni uchungu tuu naskia… Kama unaona hiyo bei ni uwizi si uwachane nayo?..

Mimi huwa sizinunui but on this particular issue ilibidi coz either way nikama hangeendelea kulipa loan. Alikua anataka loan ya 2k atakama ni Shylock

1 Like