Masaibu ta Kariz wa Fighter Mignon

Kariz ni mtu wangu sana, since the days tukifanya job pale Tushauriane Kayole kwa Mzungu and kukula mgoks kwa jomba hapo tu. We later went separate ways but he opted to remain in the transport industry mi nkaenda kwingine.
Over the weekend, he invites me to water our throats(Midomo ilikaa ever wet ka mdomo ya ng’ombe) at a place called Mawe Mbili, along Kangundo road. As we were imbibing our drinks, he informed me that ako na Mushugi Fighter Mignon inaendeshwa na wamuthee na alienda kupeleka maji nayo Malaa, and hajarudi na ako mteja.
Tumeka kiasi akapata call, he’s the conversation
Wamuthee: Mboss uko wapi?
Kariz: Niko hapa Mawe mbili
Wamuthee: Kuna kashida wacha tukuye havo
Kariz disconnects simu, cursing.
About 3 beers later, tunaona Mushugi water boozer imevurutwa na breakdown inaparkiwa hapo kwa gate kuingia 2 stones (Najua wengine hapa wwanajua huku ni wapi)
Wamuthee comes and narrates what transpired:
Wamuthee : Mboss yana tukienda tupeleka mayi kwa mteya, ngali iliingia kwa mtalo, ku ng’ang’ana ndio nikaskia kaalufu na ikakwama kaambisa. Nikaita makanika akakuya akasema clutch imechomeka. Simu iliisha moto.
Kariz: (Saa hizo amefume macho imekua nyanya kama ya… ) Wee nikuulize hiyo maji ulikuwa umebeba ni ya pesa ngapi?
Wamuthee: Elfu Tano.
Kariz: No umejaziwa lorry na pesa ngapi?
Wamuthee : Maana tano (500)
Kariz: Yani wewe unichomee gari clutch hata labda umeharibu diff sababu ya maji ya 500?
Ungemwaga maji hiyo lorry ingetoka?
Wamuthee: Iya mboss nimwage hiyo mayi yote ya mteya?
Hivyo ndivyo Wamuthee alifutwa job na nikaachiwa bill ya 7500 nilipe na tulikua yufanye collabo.

:D:D:D:D

Karis wa Mushugi Fighter Mignon…ananunua mayi maana tano anausa elufu tano?

But Malaa is a hardship area isn’t it?

Lakini si Kariz ndo alikuitia gede?

Hapo ndio nimefikisha

Tei? Yeye ni kalewamate since time immemorial

Ni place ingine kavu kwenye kinda Gakuyo and other Property agents wameenda kusaka mashamba

o_O