Mas-hul-Khuffayn - Kufanya Wudhuu Juu Ya Soksi Au Viatu

[SIZE=6]SWALI LA KWANZA: Tunawaombea Alhidaaya uwezo wa kujibu maswali yetu kwani tunafaidika na mengi tusiyoyajua. Nimesikia kuwa unaweza kufanya wudhu wa [/SIZE][SIZE=6][B]sala[/B][/SIZE][SIZE=6] bila ya kuosha miguu na badala yake uvae soksi na upanguse kwa maji. Je ni kweli? Na hata kama umekwenda haja kubwa na ndogo wudhu humo miguuni utakuwa haujavunjika? Na ni muda gani unaweza kufanya hivo? Na vipi kufuta hizo soksi. Nitashukuru kupata jibu. Asala aleikum SWALI LA PILI: Naomba kujua kwa hali ya kawaida mtu anaruhusiwa kusali akiwa amevaa soksi pamoja na kutawadha kwa kupitisha maji chini ya soksi hizo.[/SIZE]
JIBU: https://www.al-feqh.com/sw/mas-hul-khuffayn--kufanya-wudhuu-juu-ya-soksi-au-viatu [ATTACH=full]255308[/ATTACH]