Marwa attends a weird party in Santa Barbara, California

A soundless party where everyone is given headphones and the DJ plays music straight to the headphones. A noiseless party where everyone is dancing like a zombie.

https://www.youtube.com/watch?v=aaiMqPKGWX0
.

its soundless to everyone else - its not soundless to you. Hizo party zinakuanga poa sana - sometimes zinakua na dj watatu, playing diff genres of music. Huyu akikubore, unatune to the other one

Utamu ya club ni makelele.

What does Marwa do ama no vlogging tu?

It ain’t nothing new, done in Kenya many times.

Punguza kukua toast banae,kuna clubs kadhaa huku wanatumia huo mtindo. Mojos walikua nayo during afternoons kabla kufungwe. Ama ni ushamba mtu yangu?

Hes a vlogger exclusively. Goes around the world.

Hio tech bado haijafika hapa ushago.

Bluetooth?

Lakini hii utoast ya Marwa imempeleka far joh…

nonsense , utamu wa club ni kelele . nikikatia dem anitusi majamaa waangue kicheko , si mutafanya self esteem yangu iende chini .

nikipata ear infection kwa hizo headphones . wacha ikae . siwes lipa mzinga 10k na such bullshitt

hiyo concept niliona kwa ile series ya Colony, I think.

Okay… I have been watching his videos in the last couple of weeks…

Hawa mapastor si watumie hii technology.

Wee hakuna kitu unajua, dinywa mkush pole pole na @Deepwater bila kisumbua. OJ 16% sio mzinga wewe chokora ya kayole rasta corner.

Monkey, you never disappoint:D:D