Wadau kuna ka 24yr old girl ka nataka nimwage ndani nifuge
Hii age iko aje ama najikaranga bado kako job hunting alimalizq college 2yrs ago
Pros: at least you will stop being a wanker and get a taste of some real pussy anytime you want
Cons: she’s jobless,broke and probably looking at you as her savior to provide,protect kama uko kazi ama biashara that can support both of you unaeza fuga why not?
Go for it young man.
But I suggest you cohabit for at least a year before you put her in the family way. That’s enough time for her true self to show. Then you can decide if shes marriage material or not.
Umepewa kamba, sasa unatuuliza ujinyonge au la? Wewe ni elder au kiatu?
Ndugu @Kodiaga is following this thread closely, huu mwaka ameambiwa na mjomba side ya mzae wake kama haleti bibi asahau bungoma.
“Kwetu tumeoa, na sio bibi tu, mabibi na si wawili na tumeishi, wewe umeshindwa hata kupata rafiki wa kike”, Mjombaye alisikika akisema kwa hasira. Walikuwa kwa stage ya gari za kwenda nairobi.
Ameambiwa hawezi endelea kuishi kama mutu hana mwelekeo. Angol yake alimlinganisha na gorogoro ya mahindi. He is stressed juu hataki kuoa. He suffered a heartbreak 11 years ago akiwa 19 years, and he’s never recovered. Nasenya alimuacha akaolewa na mzee kama bibi ya nne.
@Lord_Wanaruona ulikuwa unasakia huyu ndugu ya luhya land bibi, anasema he does not mind kama ni single mother bora asikuje na mimba. Sasa sikia vitu ana consider kama requirement za bibi…
io age iko poa kuoa but make sure your energy levels can match for the next 10 years, otherwise utakuja kutupea hekaya ukiwa miaka 45
Nice! At least you are contemplating about kupata jiko.
Wacha tufungue hii kesi yako.
Why are you getting married?
Utawezana na kulipa endeless bills? Ama wewe ni mutu ya 50/50
Umejipanga ama utajipanga later in future (wrong move)
If your answers to the first two questions are no, endelea kuwa single.
Utatesa mtoto wa wenyewe bure bilashi. Utakosa tu amani. Take a lesson from @Kodiaga; he chose bachelorhood despite the disapproval of the uncles and aunties in Bungoma.
mbona uoe na kila mwaka the market receives the likes of this? akikaa ndani ya Probox anaona vile wewe ni hardworking anaanza kupanga future kwa akili
Huyu anatafuta bwana to improve her life. Utadinyana style deadly deadly. Next ni come we stay. Alafu ruracio
Marry her if you like. Ujue marriage is 50/50 gambling
Hapa sawa, peleka hii picha kwa uncle yako umsho “ndio hii project” awache kisirani.
Mali safi hii. Hapa unamwaga ndani bila kuogopa.
Marry her.
Thats is marriage age for ladies.
Uliona jamaa juzi akikimbizwa na kisu ndani ya flat haina ventilation. Na amezalisha kunguru watoto wawili. Hope uli-study hio situation before uingie plantation
Mimi siwezi tafutia @Kodiaga Bibi while Niko pekee yangu.
Hehe, hii transfer window isikupite hivo kaka (Jjanuary madem wengi hutemwa)—time to scout for new girl.
Yule nurse lenga kiasi, contract yake ita expire tu. Keep your eyes sawa sawa kwa soko, check out potential prospects, and make sure you’re aware of the release clauses (Asikucheze na main guy). Don’t just go for the first one you see anaweza kuwa injury prone (akulange weekly wages akiwa sidelined tu); take your time and evaluate ako vile hadi wangwana wanakubali.
Hii season usikubali kuwa na “player” hataki kuchezea klabu. Once you find the right match, make your move, negotiate the terms, and seal the deal. Alafu kumbuka, the deadline’s approaching, so hakuna time. Sahi madem wanasaka msee wa kuwa treat February 14th. Take advantage.
Ni jina tu kunyonga nliacha
Tumejuana 6 months now tabia sio mbaya though mi addict wa socials
Nmetombana nkachoka inabidi mifuge sasa,mtu wangu
Swali gani hii sasa?