MARRIED PEOPLE.

Kwa wale married,how do you tolerate staying in the same house with a person 365days in a year…mimi nimekaa na Mwende 3months na naskia ngozi nikama inatoka kwa mwili…okoleeeni a brother na tips tafadhali!

5 Likes

You married a mismatch!

2 Likes

sio hivo…ata previous girlfriends it has been the same story!

1 Like

Tafuta mancave

10 Likes

Kwani umefungwa? mwk ni wengi especially if you are married

1 Like

I hear u ma Nigga, then soon down the line u will be posting vile ulikuwa dedicated and committed to your affair, alafu Kuna Amingo fulani umechomoka na your girl.
Then U keti pale.

3 Likes

Pata mtoto kwanza so that you stop putting more focus on Mwende. Marriage sio bibi peke yake.

11 Likes

kwani unakaa kwa keja 24/7 kazi ni ku BANGladesh tu?
Find something productive to do and involve her. it will be less boring.

9 Likes

The same way your family tolerated living in the same house with you for 18+ years. Unless you were raised by monkeys…

37 Likes

@kativui ,mwende si your sister…hukuzaliwa naye …wachana naye

Mshow tangu akam umekonda, so aende kwao ukibuy sufuria kubwa utamwita

Works all the tym. Trust me. Najuanga hizi vitu.

14 Likes

vile@123 amesema

niko job na ata tukona biz pamoja…lakini the boredom of seeing the same person daily inaniweza!

1 Like

nv

Toa hiyo ngozi kwanza.

1 Like

Eish

Worst advice ever. Don’t I repeat don’t have a child to “save” your marriage/relationship. If it’s not working just walk away.

4 Likes

Change your mentality first that utaboeka ukimuona. that is what you have conditioned yourself too.

But also is it a come we risk arrangement ama utaenda kusema uliiba mbuzi after some time? that is kama hujaenda?

1 Like

Hekaya yako inakuja lini ndio utuadvise?

1 Like

Hehehe…
Wewe hata usizae na yeyote… You can’t sustain a family. Wabadilishe kaa diapers tu hadi siku utajipata kimeta au ED imekumeza…

2 Likes

Statistics have shown separate living couples have a healthier marriage.

2 Likes