Married men hukapitia saa zingine.. The idiot lives in Ridgeways and has a 36 year old single mother of 4 as a mpango wa kando

Na ni kapolitician

1 Like

Mbona anakaa mzee kwa hiyo picture ya kwanza?

Hatukapitii, hii ni sweeping statement

3 Likes

Hata wewe ukinaswa na D materials after kurun mtu down , stress watakupea na hauna time ya make up ukichukuliwa mugshot utakaa Tu biden

11 Likes

Make up…urembo fake tu na filters

7 Likes

Lazima huyu mama alikua anafanya vitu za kijinga to keep the man, na huyo mwanaume lazima ni mshamba aliangukia pesa.

1 Like

wueh filters ni fraud bana

2022 was 10 years ago…
time_comes_at_u_fast

1 Like

which man is being fought over?

wonna join the bandwagon eeh?

eeh. nione kama nitauawa nikianza kupewa slices

ata mimi io singo matha nakula alafu niingie embobut simu ikiwa flight mode

1 Like

na wanawake wanazeeka vibaya siku hizi? uyu ako 36 na anakaa shosho wa miaka 60.