Married men becoming soft and sissy

Today I went for dental check in undisclosed location, Sasa kufika around 3pm kulikuwa na 9 people ahead of me ikibidii nitulie waiting area.

Pale kwa waiting area kulikuwa na jamaa probably in his 30s, I could tell he was newly married because, instead ya bibi kucheza na mtoto, jamaa ndio ako hapo akifanyia mtoto abujubuju, while the kid laughs loudly, bibi amekaa just browsing, kidogo the guy akatoka inje na mtoto, when he was out , the doctor called the wife in because she was next in line .

Jamaa kurudi ,anatuuliza shamelessly where the wife is, akaambiwa na receptionist the wife ako examination room, Yani ninja shamelessly followed the wife kule ndani while carrying the kid.

Yenyewe married men huwa wanabebewa akili na bibi @Yuletapeli (plantation worker mkuu) , tell me am wrong?!!

Hapo sioni shida baba akipenda mtoto wake (DNA certified).

Ile siku utakuwa na mtoto utajipata unakuja hapa kuuliza admin kama anaweza futa hii post ya Leo.

Family ikona raha yake pia.

It feels great to be a dad.

Cc. @Agwambo, @uwesmake, @PHARMACY

(Hawa ni team planteshen and can confirm)
Kuna raha saidi, kucheza na your kids.

Ukona umama. Learn to mind your own business.

As a man you must command respect, otherwise bibi atakudharau.

Angalia burukenge kama @PHARMACY.

Nugu iko 33 Kgs alafu sauti ni soprano kama ya dem. Alafu ni kafupi.

Kule nje raia wanafikiri ni tuchokoch tutatu tunatembea, kumbe ni @PHARMACY na watoi wake wawili.

Bibi anaheshimu jamaa kama huyu aje?

Our renewal is with the children, cheza na wangu i will put stinging nettle in your anus.

@PHARMACY imekosea nyinyi nini?

@PHARMACY pigwa backshots na conman @Agwambo utulie.

Sina mtoto lakini nikipata hata diapers nitakua nabadilisha na kumwosha bibi akiniangalia hapo tu. Taking responsibility for raising your child is not being a simp.

What kind of “manliness” sublimates the moment you show love and responsibility to your child and wife? Yani you are punishing you child by denying them fatherly affection ndio ujiite "mwanaume"? No wonder some of you are addicted to prostitutes because you can’t hold a normal relationship. You are self medicating with drugs because you have repressed mental issues emanating from emotional neglect and abuse that you received in the hands of your parents/guardian. And you are propagating this to your own children.

I agree, totally and completely.

actually i do like to go with my daughter as my wife shops. She goes to the supermarket and i go to the beer shop. have in a few instances had my beer paid for by these women of wine drinking

Kumbafu wewe!!!

Uza mcea polepole ndume haina aibu ,eti Mrs Chantal umbwa wewe mlawiti

Usifikirie walawiti kuna kitu wanaeza niambia Mimi pharmacy

Hapa I believe you need to read widely daddy. Fathers are clinically proven to be very good at “abujubuju”. They are a child’s best friend because they have energy for playtime which is very critical in early childhood.

Did you read the thread, nugu followed the wife into examination room, hata kama ni bibi yako , kwani you can let her speak to Daktari alone!!

Kijana we huwa pungwani ama uko na shida Fulani!!!?

My daughter loves me more than her mom lakini huwa naambia khupipi achangamke, I indulge my baby girl when I feel like it. You have to set boundaries as a man usibebwe shudren, hao masimp nimewakulia khupipi sana

Sioni shida.

Auski sioni shida hapo…si mliamua ni in sicknesss and in health…wacha mzito apatie bibi moral support.

As kids mum would accompany us and hold your hand as your sorted…hio tabia sisi sote tuko nayo mpaka sahi…ni comforting kujua ukona support ya mtu hapo karibu.

Kudos to the dude.

OP ni jamaa wa Mgtow, anaona ikiwa so abnormal. He should start working on how he views relationships. Marriage sio competition…