Marriage Things

Mwanaume kupika na mke wake anawatch TV, hayo ni mapenzi ama ni mapepo?

Mapenzi moto moto

Acha Izo hahaaaa!!!

Nani ameoa mwingine?

Io swali niko nayo na iko blank. Cjapata jawabu

Nani alinunua hiyo chakula?

man - oa/marry
woman - olewa/gets married

Yes thtz how things are supposed to be. Bt nilisikia eti MAPENZI KIZUNGUZUNGU. Lakn shida iko wapi ukimpikia mkeo?

Sigwes

Bibi alinunua bt Bwana alitoa pesa

Io ni nini?? Hehe

Mambo Ya kitchen achia mwanamke. Mwanaume nikupeana pesa na kuchukua remote, kaa kwa sofa ngoja chakula!

Underline neno MAPENZI then udiscribe

Mtu hupikia wife once in a blue moon…or is it once in a gibley’s… whatever.sio kila siku.labda kama ushakula chapa imekariwo

hiyo ni kurogwa. Na umenikumbusha … @Ebonycurves alienda wapi?

Lakn pia kuna mapenzi ndani yake

Io ni kuwa romantic. Sio kucheswo

I don’t believe kuna kitu inaitwa mapenzi mimi.i just believe in living in harmony and peace na your better half

@Jay254 hii maneno umeyaona wapi?

romantic ni propaganda ya mzungu. Mwanaume Ni kusoma gazeti bibi akipika. Usikubali kukaliwa.