Marriage Chronicles

Yesterday evening my neighbor’s beautiful wife knocked on my door ati nimpee key ya gate.

In 3 mins nkaona wanaume wanabeba vitu kutoka kwa nyumba loading them on a pick-up truck.

She then knocked again akarudisha key na akanipea vitu zingine nimwekee of which alirudi akachukua.

Now the husband an Uber driver came at 11pm as usual. That’s when I knew kumbe kumeharibika.

Dude went inside the house na juu he usually doesn’t talk to people hakuuliza anything. Alijifungia na ametoka asubuhi akaenda job.

This are the things that scare me from marrying. The wife is a real beauty. She was paged and they seemed so happy.

Wtf is happening with marriages??

The Joys of marriage.

Looks like a normal day for any Man

Sare story za wenyewe mimi hata bibi za watu sisalimiangi…a friend alikufa in unclear circumstances juu ya kudishi bibi ya wenyewe. Infact wewe endelea kuwekea bibi za wenyewe vitu kwako chuma chako ki motoni…

Ps. There are people who cant stomach being played woe unto you ukipoke into issues zao.

Nothing new.

I didn’t keep those things knowing her plans. Besides I never talk to her besides the usual salaams pale tukipatana kwa gate coming in and out.

Infact she came for those things in an hour of which they were two cartons of coffee cups and water glasses. So I don’t think I need you to advise me about how I deal with people’s wives

Ati umekua uki salimia bibi ya wenyewe wapi? Luwere.

Yenyewe ukishajua mtu ni bibi ya wenyewe baada ya salami tembeza don’t allow be in an area you two alone remember rumours are also news

Kwa gate akiingia nikitoka. I don’t stop to utter an extra word besides the usual salaams. Hapa naona upuss ni mingi. Mnarudia ufala. Everyone knows bibi ya mtu is a no go zone mazafaka

That’s it

Ndoa za watu epuka , mi nliwaambia hapa enzi zile nkiwa kawangware congo jamaa angepiga Bibi mpaka mnabomoa nyumba kuokoa Bibi, then after hapo wanaandamana pamoja Hadi kwa bafu kuoga pamoja

kwa hio story yako the Jamaa was expecting that the wife will leave with her mbirongings ni kitu walimazana before hio siku wife alijiondoa.

Lesson of the day. Majamaa wanunue vitu za hao. Mkikosana wife anatoka tu na bag ya nguo zake ama na mimba :D:D

Upus… Bibi za watu wanadinywa daily and there’s nothing the beta husbands wanafanya wakijua.

We’d be waking up to 100s of dead bodies daily if men were that protective of their wives.

Maybe she was taking that furniture to shagz or giving them away in preparation for buying new items.

I wouldnt kill you for fucking my wife coz am protective of her, but rather to protect my ego/pride/name.

Kuna talker hapa alisema Bibi akikuliwa the best strategy is to pick all your important documents, pack a few essentials kwa paperbag then disappear to unknown location never to be seen or heard by her:D:D

Hii ni ile ujinga ya kushare costs hadi vitu kaa viti, beds. Akihama anabeba zote juu alicontribute.

…Wife ya shemeji alijiondoa na kila kitu hadi koti na sandals alikuwa amenunulia jamaa

Real facts. Ndio bonobo ikuliwe khupipi mara mob, ujue yeye ni weak kipii kabisa. Many of their husbands are too beta to even retaliate. Some of their husbands have ED or very low libido to satisfy their wive’s raging hormones na wanajua. I know of fellas who know wanagongewa but they don’t care, or they are already chewing a 20yr old Kmtc chick to care. Married fellas hapa kanairo should start getting comfortable with the fact that wanatombewo.

io ni shida personal sio shida ya “marriage.”