HIZI NDIZO SHERIA MPYA GIRLFRIEND YANGU AMETUNGA VERSION YAKE YA MARRIAGE BILL 2017.
- Kama mimi si mrebo,usiniabie ati mimi ni
mrebo. Ati dio tu niweze kuigia box. Ama dio
carton. Ogea ukweri. Sitakuuma. After all,si
wewe uriniumba. So makosa si yako. - Ukinipromise utanipereka Zanzibar,tafathari
timiza Ahadi. Si ati uniabie tutaeda Zanzibar
arafu unipereke Nyahururu. Ama Sagana. Kwani
Zanzibar yako inaedagwo na Boda Boda?? - Mimi ni mwanamke. Nahitaji kukaa vizuri. Na
nahitaji kupewo pesa ya kujirebesa. Sio ati kazi
tu ni kunipea shirigi hamsini hamsini kira mwezi.
Unanipea hamsini nipereke wapi? Kwani ni
sadaka?? - Tukikosana,WEWE DIO UKO KWA MAKOSA.
ALWAYS. Na hatutabishana Kijana. Kubari makosa
na unyamaze. Na mapenzi yaederee. - Kama ni date tafathari nipereke hoteri za
guvu. Hoteri ziko na gumo. Nimechoka
kuperekwo kwa Mama Waithera. Na nimechoka
kutumia vikobe za mabati. Na kukaria viti za
bao. - Kama mipago yako sio kunioa,tafathari kaa
bari na mimi. Usiniretee mushene,ati ‘Oh
nakupeda,ati Oh,wewe nitaishi na wewe mirere’’
arafu uniwashanishe kama lorry imeng’oka
muguu kwa barabara. Kichwa yangu inagoga
harusi,kama yako haigongi arusi,jipe suguri. - Nikiria unafaa unikamate taitly in your arms
ukiniabia, “Sorry baibe. It gonna be orait” sio ati
mimi naria na wewe uko hapo unanikodorea
maitho kama thendema. Mùgúrúki úyú. - Simu yagu ni yako. Na simu yako ni yagu.
Hakuna cha ati “dont tash my phone” .
Actually,kira Wednesday tutakuwo
tukibadirishana Sim Card. - Abia ma EX wako wote wakae bari na wewe.
As far as possible. Kwanza wakiweza wahamie
Meru. Kama hawataki kuchomwo kama mahindi.
Na uwaabie wasiwahi kukutext. Kitu chochote.
Ama wakati wowote. Ati kukuabia Gdnyt. Mimi
dio nafaa kudecide the kind of night you will
have. - Ukioba,lazima uobe kwa sauti. Sio ati
ujifiche kwa kakona ati unaoba kimoyomoyo,razi
ma niskie kire unaabia Mungu. Ama rabda
unamwabia aniodoe kwa maisha yako. - Watu wetu wanakuwanga wenda wazimu.
Washana nao. - Razima uote na mimi. Every night. Either
uote na mimi. Ama uote ukitegeneza pesa.
Anythng else ni hatia. Na ukiota na mimi
uhakikishe nimevaa vizuri. Sitaki kuaibishwo kwa
doto mimi. - Sipedi kukiss. I think ni ujinga kumumunya
mudomo ya mtu mwingine,kwani ni peremede ya
KSL?? - Sinaga hobby. So,sitaki maswari za ujinga ati
“What is your hobby?” . Actually hobby yangu ni
moja tu. Kukupenda. Iyo dio hobby yangu. - Utanipereka kwenyu rini? Harakisha. Napeda
kutebea. - We will never break-up. Ukinipeda hauna
bahati. Utanipeda mirere. Kama vire Yesu
aripeda Kanisa. - Sipedi kushikwo mkono in public. Kwani
mimi ni mtoto?? Ama wewe ni baba yangu?? - Energy Drinks nimekataa. Hizo haufai
kukunywa…Unataka Energy ya nini??? Ya
kuniwacha???
Ama ya kutoroka?? - Na pia sipedi kudara darwo ovyo ovyo.
Unanidara kwani mimi ni Pages za Bible ya
Juliani?? - Sex tutakuwa tunafanya the godly way. Yaani
ire styro ya kawaida ya mababu wetu. Sitaki ati
uniretee styro zingine hapa za kishetani. Ati “Oh
rara ivi,ati Oh weka miguu nyuma ya kishwa…ati
Oh twede kwa kiti…” Kwani wewe ni Devil
Worshipper??