Marriage and loss of wealth by the man

Sawa Elders we all been seeing vile mabig money wanapoteza mali after kunyuria through fault play mostly by the wife. I read somewhere that marriage is a legal way of separating man from his wealth. Let me give you a short true story of a first hand experience. I know a friend of mine who was doing well. Had a great business, several cars, big house in a posh neighborhood, afew lands in coast. Actual one sits on the 2nd row from the beach. Yaani jamaa alikuwa amekafunga. He met a nice girl…they dated for afew months before they moved in together. We tried to tell the guy that he was rushing things. Guy was over 50yrs so he was kinda desperate to get a wife and kids. What did the guy do? He did the AG small wedding where he invited very few close friends and family. Last year the guy fell I’ll all of a sudden…his blood pressure was over the roof. Guy gets admitted for brain aneurysm. He stays in the hospital for 3 weeks. Finally falls into a comma and the doctors declare him brain dead. They have to take the tough decision and let him go. Thats where the dram began. Family ya jamaa wanasema kijana ni wao and they had to take control of everything. Shock on them…girl got a lawyer and apparently according to the law…they were legally married and the girl had control of everything. So guys… .this guy was married to this girl for less than 2.5yrs but she was able to get away with everything that the guy owned. She technically inherited everything. Cars, homes, lands, guys businesses and shiet. I feel like the girl was unfair to the family for taking everything coz they were not married long enough and the guy had already accumulated all his wealth before he met the girl. So wadau… that’s what happens. Family ya jamaa imerudi kuwa masikini fukara hohehahe coz jamaa ndio alikuwa anawa support while the girl is laughing all the way to the bank. Hebu tafakari hayo. Lesson i learned ni uandike will no matter how young you are. Uachie watu wenu hata kakitu bana or else wife na watoto wake ndio watabeba kila kitu. Cheers guys

There are two people you can’t advise. A rich man and a woman in love.

So kuambia rich bonobos waandike will ndivyo by bad luck wakikufa wasiwache jamii yao masikini watajirishe kunguru watashindwa sana ni nini unawaambia.

If a guy is wealthier than you, even if you are wealthy by society’s standards in your own right, he will likely think that he is smarter than you. The same way you think peasants are always dumb which isn’t always the case.

There are millions of rich men who die early and leave everything to their kungurus who have known them for a few years. Wengine hata hawajawazalia. Wanawacha wazazi pushing seventies and eighties wakiteseka kijijini.

Noma sana.

hiyo ni sawa

Widows na watoi hutupwa nje kama mbwa koko na family ya mzae akidedi na akiwa hai alikuwa shemeji over flimsy reasons

@MTINGIZA KITANDA!!! Sasa hii ndio maisha nyinyi MGTOW mnataka? Such a miserable life. Kwa nini ungoje mpaka ufike 50 ndio uzalishe or to marry? First, the quality of your genes will have deteriorated. Second, at that age, Erectile Dysfunction will be your companion. You can’t always pull a Charles Njonjo and get away with it unscathed.

If the man had kids, there wouldn’t be any loss juu jasho yake ingeenda tu to his progeny.

Bro…am married with 3 kids akina @Karoga na @Kodiaga ndio mgtwo…am just sending it out there to my fellow plantation workers :smiley:

muhimu sana kuempower siblings wamee akili . sasa ata ukiwa na very poor relavives hata ukiwaachia BMW X6 si watauza 300k wakunywe hiyo pesa.
Halafu ni kama kuna age wababa wanakua wajinga wa mapenzi haambiliki hasemezeki

The above story is directed to Planteshon workers. It has been insipired by the FAXE guy who died after being married for over 20 years. MGTOW hatuioi so zero chance of being affected

The woman is most likely financially illiterate, so even if she inherits the properties, businesses, cars etc. it’s only a matter of time before she mismanages and goes back to square one.

It’s like bringing a chokoch to your household alafu he/she takes over your assets.

siwachi any ata maandiko imesema mke na mume ni one thing wazazi na ndugu wajipange.

Will unafaa kuandika the moment you make your first 100,000 Kes. Ya kila kitu hadi socks zako. Otherwise unajidanganya sana ukifikiria unadate ama ulioa malaika.

Tulisema watu waoe kabla wafike 27, hamtaki kusikia.

Oa mapema, halafu ukiishi na wife, loyalty is rewarded in instalments, disloyalty punished immediately.

Kama jamaa alikuwa millionaire na beach plots na hakuinua family yake kiuchumi, alikuwa anaipea handouts, shida ni yeye, wife hana makosa.

:D:D:D:D:D… assumption ndio zimeja hapa???

itakusaidia aje ukiwa maiti?

Mali yako itaendea wenye inafaa kuendea. It’s the only way you can influence life events and other peoples lives even after death.

ukikufa mali yako inafaa iende kwa wife wako kwa ajili ya watoto wako, sio ndugu zako. Ukikufa, wife wako hawezi wacha watoto wako wakufe na shida, lakini ndugu zako wanaweza.

Otherwise imagine buda amekufa na uncles wako ndio wakeachiwa mali, mtateseka sana

100% true

uki type hii kuna kijana alioa at 25 at 27 ame divorce na kusare plantation for good.

Bila will the real beneficiaries wataumia, even that wife. She can be approached by a conman lover and get swindled.

Ile lesson alikuwa alearn ameilearn mapema, kuliko kuja kudivorce kama muda imeenda na resources mingi zishakuwa wasted. Oa at 25-27, kama ni divorce malizana nayo by 37, by then unakuwa ushajua tabia za ile mwanamke umeoa