Watu watatu wamefariki dunia baada ya gari aina ya Toyota kuacha njia na kugonga nguzo ya umeme eneo la Palm Beach.
Akizungumza leo Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala, Salum Hamduni aliwataja waliofariki ni Mharshi Pnkaj Kumar(25),Arshad Mohmood(31) na Zeeshan Muhammad Munir(27) wote wana asili ya Asia.
Eeeshi. Pole kwa familia ya waliofariki
It sounds horrible in Swahili
:eek::eek:Damn!! The car looks like it was chewed up and spat by some vehicle eating monster.
R.I.P to the departed
5 Likes
Pole kwa walioaga
eish, kwani ilikutana na kimemendi
@igweee kuja uone
WTF!! Akuna anything resembling gari hapo, RIP.
…waaaaa sad
…very sad…
umejuaje ni Mark x?
1 Like
Young drivers must have been speeding like mad.
I wonder too. Hata wheels ni disk imebaki
1 Like
If you stomp on the gas and watch the dial turn to 260 Kph, there is a very high likelihood of losing sight of the road ahead.
The road narrows.to a. Pinpoint
1 Like