Tunajua leo billionaire @rollout anakunywa FAXE sita na hatusumbui.
@uwesmake atakunywa gilbeys half sankara ya kayole na hatusumbui.
@vuja de atakunywa jug Daniel’s 1litre Pumzika lounge na hatusumbui.
@The_Virus atakunywa best beer in the world Heineken na hatusumbui.
@FieldMarshal CouchP atakunywa white cup sita (beer ya General Kiguoya) lakini atatusumbua.
Homo @Web Dev already ashakunywa Chivas Regal 750 na hatusumbui.
@biraru atakunywa passport scotch mzinga na hasumbui.
@imei2012 anakunywa tusker mbili na pesa ya shopping ya nyumba na hasumbui.
@Mathaais atakunywa black ice tatu ziko flat alafu akaWetanguliwe na bibi na hatusumbui.
@Ice_Cube anashikia @Purr_27 mguu ya mbuzi pale kamakis alafu apewe peck kwa cheek na hasumbui.
@Meria Mata anakula miraa akingoja the next school to burn ndio aweke breaking news na hasumbui.
@Akeelah anakunywa tia maria kwa hao pekee yake na hatusumbui.
Mzee wa Akeela @Wakanyama anachimba choo futi saba na hatusumbui.