Marinated corn with aged pea on a Japanese bowl

[ATTACH=full]76418[/ATTACH]
Karibuni Elders, sijui fees inawapeleka aje njamaneni

29 Likes

Kuna siku nimekula hio ikanipatia homa noma

3 Likes

You forgot salted guacamole.

14 Likes

Hehehe. Ati homa tena

2 Likes

Kuteseka ni kwa muda*3

5 Likes

kula githeri GMO porepore

5 Likes

:D:D:D. Ulitengeneza tomato paste ukauza yote?

6 Likes

Itisha order ya ofocado from mwalimu gashui. Otherwise githeri githeri sio poa.

9 Likes

he he…ni mahindi au ni minji ilikuwa na virus?

6 Likes

Hahaha. Hii ni zile meal mtu hukula ili asishibe coz of anticipating coitus. @M2Random priss confirm

6 Likes

@mabenda4…Bro, hii Nzio aftermath ya holidays my fwend?

2 Likes

Ni mahindi…ata ile mchele inakuanga moja moja huwa inanipatia homa nikikula pia

2 Likes

Mbona unakula chakula ya kuku

10 Likes

Hii ni chakula ya mbuzi kule Japan…warayuseyin

2 Likes

Ati fees? I paid fees on 13th Dec.

1 Like

Kwani humurudushi watoto shule seriously…

2 Likes

:D:D:D:D:D:Dyou are funny man…

2 Likes

walirudi… saa ya ku-negotiate pocke ndio unawakumbusha walikula Krisimasi…

3 Likes

:D:D:D

Sio mbaya…umeambiwa ungeweka avocado then you mash it and you’d have savoured mukimo guacamole

2 Likes

Ako ngara kwa hostel /bed sitter baado

2 Likes