Marinated and aged Pweza (chef Gio)

[ATTACH=full]67977[/ATTACH] [ATTACH=full]67978[/ATTACH] [ATTACH=full]67979[/ATTACH]

2 Likes

Mwalimu wa @Gio to all you doubting Thomases
[ATTACH=full]67981[/ATTACH]
Former Norfolk Hotel Executive Chef & Block Hotels Group Chef Eamon Mullan(left) with Queen Elizabeth at the Treetops Hotel,Kenya in 1983.The English born Irishman is believed to be the best chef on Kenyan soil among hoteliers.Most of his students,apprentices and interns eventually became top chefs in five star hotels worldwide! The Queen of England was celebrating her long reign in Kenya where it all started automatically after her father’s demise!

…Nimekuona kwa thread ingine ukiwa kwa ‘rwigi’ , so I guess TBT starts early.

free net manenos

1 Like

Swaaaf hii kitu lazima nitafute

Huyo mullan ni fisi sana. checki vile anapima queen?

2 Likes

@introvert hi MARINATED naskianga kila siku ni pombe ya aina gani ?

1 Like

Ni ile design unawacha kitu ilale ndani ya kitu ingine kwa muda mfupi ndio inyonye flavour ya hiyo kitu ingine: for instance tortoise marinated in pawpaw juice. So ukidoze kwa mancave na momo, asubuhi utajiita momo-marinated Navy Seal.
Na hii ndio Quadrijoint Question and Answer Section.

5 Likes

So mshambamujinga mgani anaweza weka mzee kobe ndani ya popo chuise ? si itakunywa juis yote ?

:D:D:D:D

pia kuna de-shitted

Eish!! Yaani kuna siku Eamon alikuwa kijana? :smiley:

1 Like

Wueh! hii samsido ntaisaka aki ya nani