Margaret Wanjiru Slaps Sakaja while shouting, nyinyi mulitupata UDA!

@Circledot and @Berlin Oxford were cheering as Sakaja received two hot slaps

https://www.youtube.com/watch?v=yAiPqEHBCuQ

She will fail kwa nominations arudi odm

Lempurkel was sentenced to jail for slapping a woman politician. Will Wanjiru be sentenced?

Sakaja is another blue eyed prince. this niga is dead weight in politics. a very lucky maafaka. If i was him i would buy a ranch and retire in the sunset.

kwa serikali mpya yeye ndio atakuwa akiomba wazungu handout
very polished hata mzungu anafurahi kutoa pesa

Wapi hizo slaps?

Nilisema juzi even Ngirici had allies who felt bitter with the way she was mishandled. A real leader must know how to balance newcomers vs founders.
Duale, KJ etc.

The ship has started leaking! Na bado, wajinga wa UDA watasambana sawasawa!

Ruto alisema watu waende ground walete kura. sio kuja kuwa kupe kwa chama. Then you expect the leader to endorse an empty debe.

Feminist will eat u alive if u suggest she be charged

Sakaja ni washwash… Bishop ni conwoman… Sioni shida wakipigana

WAJINGA waliisha Kenya, wale wamebaki wako UDA. https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/t52/1/16/1f923.png

Nice slogan.

Hii lazima nitumie!! Watajiju!

Huyu mama hunikalia female version of sownkow.

More of Kanyari with some little decorum, and a fiery temper.

Bado anajiita prophet? Ama amalize hasira kwanza?

hakuna tofauti ya Sakaja na mudavadi both wanaexpect kupewa kiti on a silver platter. Sakaja is worse ni washwash mndorobo he has no tribal vote , in Nairobi Kalenjin population is like 10,000 people . all Luhyas know Sakaja ni mkale so asijidanganye ati anaweza pata the luhya vote masquerading as a luhya . aliangukia the Jubilee okuyu vote in 2017 . angalau Wanjiru ni msapere but ni mama mjinga either way UDA cant take nairobi. i foresee the paraplegic capturing it.

:D:D:D:D

Tim Wanyonyi to the core!