Land of love riddim brings back memories for me
naelewa ni sacasim kiasi mzito…si unakumbuka izo enzi last born ndio alikuwa kwa kila matt
then kukakuja Dj Mantix in video mix…uyu msee ndio alianza video mix Kenya wakiwa na Dj slahver…
nyinyi wasee mukajuwa how much money nililipa mantix kunifunza vegas…software yenyewe kupataa ilikuwa stress…unalipa kuinstall ni stress then mafala hawakupati key …unalipia…then kuna vitu huitwa plug in aka new blue rays ma editor wanatambua…unalipishwa
from mantix and Dj slaver come out apprentice Dj Kalonji
kalonji aka hit all over
then kukakuja steet dj mwingine Bonez
then Dj Ice
then Dj Kym
then Dj stone
then dj Lyta
then Demakufu
right now steet dj ule mkali ni Dj Riggz Dj Dannie Bwoy and DJ Topaz
hao wengine ni kujaribu tu
mbona ukaacha dream ikaenda ivo saa hii tungekuwa na dj TLS, lakini kusema ukweli hiyo biz saa hii imekuwa saturated
am behind the scene bro bado nafanya izo maneno nikisema jina nita anikwa na izi chokosh
buda lakini we hunibamba sana…hustle zako ni zile moto na hazina wengi.
@Lucky_Luciano enyewe Sonia spencer ni Ital
@Lucky_Luciano na @Jirani munakumbuka show ya Reggae hosted by Talia Onyango…vile ilitubamba…uyo mresh tulikuwa tunatuma SMS yako ikisomwa kwa show wewe ni celeb mtaa…izo time SMS think ilikuwa mbao ama ten bob…dem days
halafu remember singer Dynami
remember dem days in Nairobi
Life was so nice you just had to see
l felt it straight from the sky
no matter where you come from black or white
some dem see some dem blind
l know kawagware used to be so ruff
coner mbaya was the play dat was so tuff
l never knew Ziwani smoke alot of weed…
hii song ilikuwa anthem…thou took him 12 years to shoot the video
manze huyo dame ako swafi…and also Jay cheki huyu ital Judy Boucher - ‘cant get over you’ na ‘tears on my pillow’.
Judy Boucher is one of my favs. Ngoma zake ziko B.A
hehe tommy nakumbuka talia the nite nurse alikuwa na jammin zingine kali sana…singer dynamic alikuwa wa inna di yard dem days
hizo ngoma nikiweka kuskiza kwa ndai manze najipata nilienda hata place sijui. yaani na drive tu juu ya vile imenibeba
Is it true that hii B.A stands for Ber Ahinya as one luo broda puts it. Cc @Mzee mzima
Not sure but B.A simply means iko poa/fitty
mzito Jay na TLS acha niwaachie ngoma moja as i log off ‘Dreaming of a little island’ by Judy Boucher
Love Bump Riddim iyo riddim hunimaliza never get old
1.gate pass by fredrick macgregoy (baba yake chino na genius)
2.Love too much by Wade wayne( hii song hunimaliza l play back kila time)
kuna part husema …l love you too much to ever start liking you… @spax @Purr_27 na @Lola munaskia
l stop sending flower to your apartment
you said u aint a around any more
l stop dropping by without an appointment
coz l heard laughter coming from your door
[INDENT][/INDENT]
Hii ni kali Dokta .napenda sana iko B.A
I always remember it from way back in the days of Mwangemi’s Reggae Time on KBC General Service.
Si Simple Simon is a DJ and a half? Nilikuwa nadhani zake ni reggae tu until niskize BPM. Mix zake huwa flawless na audio quality ni top notch.
Si huyu ni yule one of the I-3’s wa ile band ya Marley?