Marcia Griffiths

Marcia Llyneth Griffiths CD (born 23 November 1949)[1][2] is a successful Jamaican female singer, also called the “Queen of Reggae”. Some of my favourite hits she made include

First thrust is the deepest :wink: mafisi can relate to this on…

https://www.youtube.com/watch?v=Co4D1fuIH0Y

All my life: an all time classic

https://www.youtube.com/watch?v=cAgOhgVtT0E

Ready to go (Land of love)

https://www.youtube.com/watch?v=fVT2BiIxmUA

7 Likes

hawa ndio queens of reggae …wachana na akina Alaine…ati wafula wafula. umefi io wimbo

Na io wimbo ya 1st ni 1st cut sio thrust…toast

4 Likes

Kabisa

nice! hio ngoma ya all my life hunikumbusha mbali sana

Pale club ya reggae saizo umekumba kukumbana katikati ya dancefloor na masaa ya asubuhi inakaribia. Uko sure unatekana hio siku.

1 Like

hunikumbusha club nyanza, saa zingine jay unapata githaa ya kwenda imefika na jeshi yako yote imejinyakulia kitu swafi manze ni wewe tu. unapita na dame yeyote hata kama amechapa maboy wasikuingililie.

2 Likes

Eeeeh lakini madem za reggae mtu kupita nao ni rahisi. Wengine ujipeana kiroho safi

kwanza ketepa huwapandisha joto sana.

Nyanza club ilikua juu kabisa

black supremacy walikuwa on fire noma

1 Like

Simple Simon ndio alikua anaongea siku hizo

@Gecko Moriah mi nakuwanga pia fan wa 50s n 60s classics/oldies. the original version ya first cut is the deepest ni ya Cat Stevens but the reggae version is much better.

1 Like

MC Jah watchman…

@Gecko Moriah, @Jirani @Davidee ebu skizeni Sonia Spence - Leaving on a jet plane. Hii ngoma hunimaliza mbaya!

3 Likes

Tulianaza Nyanza house na akina simple simo na dj Roonie Boy na Dj first born…
ikatubamba sana …black supremacy was every where…
then …pink elephant …york house …then missile zika anza
made the first 5 …then tuka part ways…

now supremacy sound…simo with Riddim Up
na Tommy with Ngwati :smiley: :smiley:

Marcia Griffiths one of my favourite reggae artist wakiwa na bob marley…followed by Richie spice na Turbulance…siwezi sahau munga…na roman vargo(this kid hunibamba concert yake unaweza peleka your mum na date wako na u enjoy so mature)

Then taurus Riley noma sana…siwezi sahau eric donanadson(sp) never seen him in a video lakini sauti yake natambua…going all over town searching to find you baby…kama hujui hii song sijui wewe ni mtu aina gani

best song by Griffiths

Satisfy My Soul,
Electric Boogie,
No Woman, No Cry,
Crazy Baldhead,
Positive Vibration,
Roots Rock Reggae,
Bad Card,
Pimper’s Paradise,
Coming in From the Cold,
Africa Unite,
Redemption Song,
Forever Loving Jah,
Punky Reggae Party,
One Drop,
Misty Morning,
Ride Natty Ride,
Guiltiness,
Time Will Tell,
Zion Train,
We and Dem,
Ambush in the Night,
Feel Like Jumping,
Babylon System,
Trenchtown Rock,
Natty Dread,
Wake Up and Live,
She’s Gone,
Real Situation,
So Much Things to Say,
Judge Not,
Easy Skanking,
Smile Jamaica

4 Likes

manze @Tommy Lee Sparta kweli we ni mzito…usisahau new kid on the block…Chronixx!!! smile for me Jamaica

:smiley: Dj Last Born

1 Like

‘Hawa’ kwani Marcia wako wangapi.:wink:

1 Like

Pass the dutchie 'pon de left hand side

hawa watoto walienda wapi?