Mara Moja, Panadol, Panadol Extra

These are your everyday painkillers; they function slightly differently and have different characteristics. Learn something new today about Maramoja, Panadol and Panadol Extra

3 Likes

Mara Moja na Kaluma ni mihadarati

1 Like

Nikichukua mara moja huwa sipati usingizi na huwa una ipea stomac ache.. nowadays kuchwa ikiuma napaka kaluma hio pande inauma… inatulia.

Kujipaka Kaluma ukienda kulala ni dalili ya uzee

13 Likes

Na wewe unavaanga sweater na socks ukiingia bed?

9 Likes

Huwa situmii dawa shifo kama naumwa na kichwa…

1 Like

Mara moja gave me serious acidity after 3 months of almost daily use. Dedinitley a Precursor to ulcers.

1 Like

Why use maramoja that often? Si uende tu hosi utibiwe. Iko na aspirin kama kiungo kwa ivo unachezea na ulcers na hypertension

1 Like

Hio dawa hufanya tumbo inawasha washa asubuhi na kuniacha na a metalic taste kwa mdomo.

1 Like

Na mboshori

4 Likes

Zile kofia huwa za wakikuyu pekee, sijai ona mtoto mluhya ama mjaka na mboshori

3 Likes

@PERDITION na @MTINGIZA_KITANDA husuguana kaluma kwa rasa kupunguza maumivu
Chichi men!Fire Burn :fire:

@ChifuMbitika hakosi yake saa moja jioni. That’s why the most intelligent one in the clan turned it into a biz. My one and only…

2 Likes

Uzee inaingia

1 Like

There is a reason aspirin was abolished. Hio kitu inaweza kukuua

1 Like

Mzee ulikataa kuleta mbuzi to my clan?

2 Likes

It leads to thinning of blood and consequently you may bleed to death in case of an injury

1 Like

I prefer mara moja. Sasa mimi Action ndio nikichukua siwezi lala

1 Like

Mimi hunifurisha macho plus inanicongest kifua.

2 Likes

Kaluma ni dawa.