Mapenzi Kuchezwa

Yaani Woi ladies? Ladies? Ladies?? Nimewaita mara ngapi? Please never trust any Man with your money awe Fiance boyfriend ama Nani… Labda kama yeye ana ku trust na zake… Yaani dame anawacha job anaenda Saudi kufanya kazi ya sagala then unatumia boyfriend pesa zote eti akuekee ukirundi muoane na mjenge sababu amekwambia anakupenda mpaka unamwacha kwa nyumba yako uki rundi unapata hata alioa na anaishi na mwanamke kwa hio nyumba na ako mpaka na mimba??? Since 2013 huyu mrembo aliacha kazi akaenda Saudi alikua na job nzuri akaambiwa saudi atakua analipwa 40k monthly… Akiwa kenya alikua na boyfriend so sababu aliharakishwa kwenda hakuweza kusafirisha vitu vyake Nyumbani alimwachia boyfriend. Wakawa wanaongea anatuma pesa za Rent shopping mpaka waka panga na chali vile watajenga. Akaambia chali afungue account awe anatuma pesa na aweke hizo pesa mpaka arundi… Last month dame akarundi kenya… Kufika anapigia chali simu ni mteja. Akamtafuta mpaka akapata penye alihamia. Akaelezewa nyumba akaenda kubisha mwenye alifungua mlango ni dame na ako na mimba na anakula mawe ya white… Lol katibu a faint kumuuliza wapi mwenye hapa dame alijibu hapa ni kwangu na mme wangu ashatoka hayuko… Na wewe ndie nani? Haha dame wa Saudi akamwambia jina… Akamwambia hata ngojea ako na haraka acha aende huyo mme wako akija mwambie fulani alikua anamtafuta… Lol kesho yake akarauka asubui hakupata bibi wala bwana alipata kifuli kwa mlango… Kuuliza caretaker akaambiwa hao walihama usiku… Woi dame alipiga simu number zote hata ya dame wife ni mteja coz alimpea number. Sasa mpaka leo dame hana pa kwenda anashinda kwa bar kununuliwa pombe jioni ikifika anabebwa na mwenye atakua wa mwisho kununua pombe. Alindanganya mamake kua aliteswa saudi mpaka ilibidi atoroke haku lipwa… Kwa hio miaka miwili na nusu ni simu tu ako nayo samsang na anatafuta wa kuuzia atleast ajipange… Oops nimesahau kusema kabla aende saudi alikua na mimba ya huyo boyfriend akaibia rafiki yake 4k akaenda akatoa ndio aende saudi. Sasa hana mtoto hana rafiki hana pesa hana boyfriend… Please my sisters be very careful wakati mnaenda ku risk life yenu majuu mkitafuta… Msikubali kundanganyika kabisa na mtu yeyote awafunge macho mtume pesa zenu…

credits: Kili mums

2 Likes

PARAGRAPHS! TUTASEMA MARA NGAPI? PARAGRAPHS!

2 Likes

[SIZE=7]AMBIA MWENYE UNALIPIANGA FEES SERRE!

WANAUME HUPIGA KELELE HIVI NDO KWA NYUMBA WAMEKIMYA WASICHAPWE NA BIBI[/SIZE]

[SIZE=7]SILIPII NYANG’AU YEYOTE FEES! AND WHAT DOES THAT HAVE TO DO WITH PARAGRAPHS? AIN’T NOBODY WITH ANY GOD DAMN SENSE GONNA READ THROUGH THAT MESS UP THERE.[/SIZE]

A fool and her money
ION na ii kilimani mums ina vituko, @culture ni inbox details za ur fake account niwe na shungulia io base

[SIZE=7][/SIZE]
[SIZE=7]BUT YOU DID MAFUCK3R! AKILI YAKO MKOJO HUELEWI WHAT I AM TELLING YOU. KWANI HATA MTU AKISOMA, ANANILIPA?[/SIZE]

http://sd.keepcalm-o-matic.co.uk/i/yak-yak-yak-yak-yak-yak-yak-yak-yak-yak.png

Tulia kaka @Horus

1 Like

ndo atalijua jiji!!!

Hii hekaya imeandikwa na vaite, izo rundi ni mob aisee… BIngwa I hope huwezi mfanyia hivi bibi yako mathaais, thought siwezmind ukimuona war from time to time atulie

3 Likes

Amekuwa serving spoon lately …kila mtu ampa …Í suspect anafunika blanketi moja na @uwesmake na vile anakuanga HiV

therefore to answer your question, naweza

Tabia yake mbaya

2 Likes

Didn’t know idiots were assembling this evening with their lesso’s.

5 Likes

[ATTACH=full]58553[/ATTACH]

3 Likes

Hapa masweep tu

1 Like

Idiot

@Electronics4u HII si poa yaani mtu ameteswa hivi na bado unamuuzia simu ya shaina .

1 Like

AKI HII NI UPUSS KAPSAAAA

basi itombe

Hehehe…

Meffi wewe. Unaquote post mzima just to write 3 words? Unatupotezea wakati na scrolling chieth

1 Like