maoni

pale niger na tunisia gg …very sure

guinea na nigeria gg…though guinea ni very hard kufungwa nyumbani

total 0dd 4.5 …

single bet kando kando

single bet kando kando totals to an odd of 4.5

zii total odds zote mbili

Ongeza Ajax vs heracles… Home win

1 Like

Mboss, game zote zinachezewa Rwanda.
Na hapo kwa tunisia Nahofia Niger inaezalemewa kufunga any…

1 Like

then in that case…apo sikuwa najua…then nitabank on guinea na nigeria gg

Was about to comment on this thread but kitu ikatokea nakiji toa inje kufanya shugli fulani
Anyway i was to say Guinea watalima Nigeria 2-1 and Tunisia watakamua Niger 3-0… Naangalia End results naona sikuwa mbali na prediction

leta stori yote acha hii maneno ya kitu ilitokea blablabla…