Maoni kuhusu hii kadudu

Volkswagen up

1000cc

Yom 2014

Automatic
Price KSH 650k

1 Like

nini ya 650k hapo?

2 Likes

650K ni impreza msuuri, Axio, Caldina, Mark II etc

2 Likes

Hii matatu ikipita upepo inaangusha :joy:

2 Likes

Inbox i import for you

1 Like

Shika premio kaka

1 Like

Wachana nayo. VW hio segment si poa