Manzi wa Kibera

Huyu dem ni mhumble…

https://www.youtube.com/watch?v=i8hgshNa0SM

U

Hiyo mfupa Eve Mungai ni kama imeanza kumea mattercore, srowrey but surely.

M

Huyo dem ako tu addicted to ghetto lifestyle, huwezi kuwa na mattercore kubwa Kenya na uishi hivyo unless unapenda tu hiyo maisha ama ni ku-troll.

1 Like

hii videos ni fake. huyu dame anatafuta sympathy. beta males watajipeleka in numbers.

1 Like

huyo Eve mungai 90% of her videos ni juu ya hio takataka ya Kibera

Guys …
Let’s pass the hat around and get this girl a proper home … :D:D

Huyo mungai eve ako sawa but she recycles the same crap over n over. Its either manzi wa kibera or mandocho ule wa gotta city.
But naona ni kama kanakafunga…good to see young souls work hard and hustle

https://www.youtube.com/watch?v=Yn6Ur6KqngM

Ama wale wajamaa wa ngumi mbetze akina Stupid boy na Mandocho.

but on a serious note youtube humlipa almost 1,8m per month. she post almost 30 videos a week na views anapata. Thats why she moved to kileleshwa on your way to westlands

Ndoto…

Kumbe yeye ni neighbor ya kinyozi @Tom Bayeye

U
M
E
F
I

1.8M per month hiyo ni mnyambo wa punda.

No less deserving than all the other Socialites living around us …
Give the Girl a break … :D:D

[ATTACH=full]395889[/ATTACH]

[ATTACH=full]395890[/ATTACH]

[ATTACH=full]395891[/ATTACH]

[ATTACH=full]395892[/ATTACH]

[ATTACH=full]395893[/ATTACH]

[ATTACH=full]395894[/ATTACH]

[ATTACH=full]395895[/ATTACH]

Hehehe kumbe hawa ma wannabe socialites wanaumia kwa ground.

Her YouTube channel is the biggest I’ve ever seen from a solo vlogger. According to Socialblade, anashindana views na kina NTV na KTN. Pia Thee Pluto show is massive, but it remains to be seen kama atasustain hiyo momentum. From my experience with YouTube, that probably translates to around 300k per month net. Hiyo story ya @mkenya001 ya 1.8 million ni kelele ya vuvuzela

1 Like

Na bado pale kwa KRA anafile nil