Manual or automatic

Hizi gari automatic ndo hucause accidents za kifalafala…
Manual transmission automobiles hukuweka radar design huwezi zubaa
Kama ni jam you are balancing the clutch, gear ukitegea ifunguke you engage, si kujisahau until you get up to find yourself in a ditch

2 Likes

Its true. kwanza gari engine kubwa unaenda kutoka pole pole pole inakimbia. kabla ushike ishabondanisha. Manual cars are very precise.
lakini njia zetu joh manual utashinda unacheza na mboro ya gari kwa hivyo hiyo maneno naona kama nilipea manual kwaheri.

5 Likes

Na kama venye Maathayo alisema, younger thugs rarely target manual cars. Then friends hardly borrow your car…kwa hivo manual yako itasurvive

11 Likes

manual coz launching lazima

4 Likes

mko na ufala sana. Ever wondered why every car manufacturer is going auto?

1 Like

Sasa unataka kutuambia hakuna manual zinaundwa tena? Uko na ufala…

hii ni ile language tu ndio ninaelewa

yes. because as time goes everyone is getting lazier and lazier.
kila mtu anataka kufanyiwa vitu.

1 Like

Manual anytime apart from jam za nai

1 Like

Automatic ni za blond sponsees like the chic who failed a driving test.
Huyo anaweza fail ata blood group test.

1 Like

Accidents si juu ya manual ama auto…shida ni dereva kujaribu stunts,kama ku overtake kwa blind corner

5 Likes

Manual tuliachia madereva wa wahindi.

5 Likes

Figsed

Kama trailer ni automatic gari ndogo na haina mzigo gear ni za nini?

2 Likes

Huchoki kujicontradict on this issue?

First time I drove auto was a bit scary so manual for me.

I like it that way. I ain’t a car manufacturer.

Unless am battling rugged off-road terrain, automatic does it for me

Inadepend na taste… Mm nlijifunza kuendesha gari na ile truck ya wrong turn.gear unaeka na mikono mbili… Auto ni umefi kwangu

1 Like

This one does it for me. Mambo ya auto niliachia akina @Purr_27 ama @Liberty

[ATTACH=full]49550[/ATTACH]

4 Likes