Just had the best bhajias at Sirikwa fast food. Watu wanapenda waru karibuni na hakuna mbisha
@trish í ½í¸
Wait a minute…you just had the best bhajias…alafu unatualika tufanye? Tulambe sahani ama tunawe tukukule?
Wewe uko kwa kivuli.
1 Like
Birawaru…amekula waru halafu anakuja hapa kuringa. Urimu…hehehe
1 Like
Kivuli si ni shadow
1 Like
The last time I bought a KG of Bhajias hapo nilizisherehekea siku mbili
Wewe @scum bag wacha hizo, i meant to share info on place u can get the good stuff
@The.Black.Templar…kg, noma hio, kwani ulikua umetoka ukambani na njaa? But its expensive hapo
@bjurrman…unaitwa na @Wakanyama ukamsaidie ku unload nguruwe zimetoka kabati leo leo
Hehehe. Leo nachapa guinno sitaki maneno mingi.nishaomba off from @pamba, Friday has come early
2 Likes
leo supper ni hio bilawaru ya sirikwa
1 Like
Kwa Kina @vuja de hio ni Padlock :D:D:D:D
2 Likes
hahaha. Mundu wa mayakos