Maneno ya Kiswahili yenye maana sawa au tofauti na ya Kikenya

Pole …ila kuna kaukweli kwa umbaliii…EA mzima inasemekana vijana wa bongo wanapenda mkia sana.

Nilikua busy kusaka ushahidi nyuzi nyingi ila ntauleta tu ipo day

Duuh mbona huko kenya kuna kesi ya jamaa anayebaka wanaume wenzie tu. Anawavizia njian

hadi io day maneno yako sio valid…haha

Mkia ya dem…

Mira -mirungi
Chang’aa-gongo

Napenda sana rangi mukundu

Ahsante.

Maneno tu hayo hivyo hata usiyaamini jirani.

picha-mbicha

Nduka~Duka.ll

Mukundu sio nzuri, penda samawati

Ndemu - Demu

Acheni mzaha buana! Hapa naona maneno ya kikikuyu na kikamba pia. Hahaha! :D:D:D Eti mbicha. Thiiitima!

Hilo neno la pili hilo!