Mandazi

Hii mandazi inakuliwo wapi? Nataka ile ya nation na BD

brare kanunue odeon

1 Like

mandazi nunue hapo kwa hoteli na usisahau chai moto

1 Like

Uliza @Dismo

Always a NV.
Ingekua elder ningempa mahamri

1 Like

Snitches all over Jehovah wanyonyi kuja hapa.

Kill them snitches…

what do you mean? Kama ni gatheti enda kanunue pale Tom Mboya:mad:. Hapa hamna!