leo hakukuwa na mandazi moto , ama form ni gani ? makaa imeisha?
Economy ni mbaya. Hebu whistle leo
1 Like
Lazma ulisomea western
2 Likes
Some place between western and nyanza
Unakaa ulikua boarding buda. Iyo term “whistle” imenikumbusha mbali.
bungoma
Upusss
Umenikumbusha niki whistle uji.
@Electronics4u amesema Upuss…Me pia.
Halafu wajinga wako na loaf wanaanza kumake whistling sounds. High school had its demons.
1 Like
@Meria Mata tupe mandazi ya jana. cc @highschooler
Ok
1 Like
Kuna mtu amespill the beans Wazua: http://wazua.co.ke/forum.aspx?g=posts&t=33813#post715611
Link ya Mandazi Moto Google Docs imeanikwa!
hapa lazima ikuwe ni talker flani
1 Like