mandazi moto ya leo?

nani ana mandazi ya leo anisaidie?

NV alert

mandazi gani. Enda pale Kioski hapo kwa estate kuna mandazi mingi.

3 Likes

kujia sai ata iko na chai ya saa kumi

Tulihamisha link…watu walileta traffic kaa hell

@muendo saidia link inbox, pia mimi nikule mahamli

saidia hio link pia nione

sijajulishwa