Poleni kwa kuchelewa, najua saa hii ni lunch time lakini wengine wetu chai ni lazima. Gas ilikua imeisha.
[ATTACH=full]22987[/ATTACH]
[ATTACH=full]22988[/ATTACH]
[ATTACH=full]22989[/ATTACH]
Ni hio tu kwa sasa, Karibuni and enjoy
Hizo mandao zinakaa poa, ingawaji mimi sio shapiki wa chai…
The smell of mandazi made me stop somewhere in the wilderness and into a kiosk. The mandazi and over-boiled village tea were…wacha tu
I THOUGHT MANDAZI MOTO NI GAZETI
The greatest combination
kwanza ukieka hio samosa ndani ya mandazi, hua yaitwa “pasua”
unauma pasua na kunyunyizia the paste ama sauce…
I so envy you izo samosa zimenikumbusha bhajia za sirikwa hotel kesho lazima nipitie… apo.
Na ile pilipili yao, nilikuwa naitisha sahani mbili them days when I used to frequent the place. Kuna mzee mmoja waiter na kijana mwingine mweupe wakora sana, kwanza na change za watu- hauwashindi kujisahaulisha…
izo bhajia ni tamu, when I take my pals there the are a bit skeptical but once they taste they are hooked. Friday naendea kilo moja.
Sirikwa is narobi’s hidden gem.hizo vitu hua tamu ajab.
Mmeniweka tamaa
na ni hio sirikwa iko hapo accra ama kuna ingine??
yes.
When I used to stay in Maringo Eastlands pasua ilikuwa ni chipo ziko ndani ya mandazi
si hiyo ni samosa waru?
hio ni bira walu
Chakula ya jioni otanitambua
@Nefertities this is for you.
Nothing exotic like @Mkufuu would make but very tasty
[ATTACH=full]23026[/ATTACH]
Ukiongezea sausage inakuwa ‘comby sexy’