Je, kwa madhari hayo kisumu na Nairobi panaizidi kiasi gani Mwanza?
It’s, mandhari
Kutoka Kisumu Hadi Mwanza pesa ngapi kuvukia ferry?
Look for mwanza city view then compare to kisumu or nairobi
Nahisi haizidi hata 40 elfu za tanzania
Iyo ni elfu mbili ya Kikenya.
Ndiyo Kwahiyo siyo gharama sana kufika huku maana ni karibu
Shitty small town. Can’t be compared even to Nakuru or Meru
Lol you make me laugh are you sure chief
Unasemea meru gani jamaa. Hio town skumyview venye naona inacheza league ya naks msee. Hio uwanja na roundabouts uliona wapi meru surwa
Hata mimi nimeahangaa