[ATTACH=full]85797[/ATTACH]
This is Manchester united
Nlikua nalenga hii thread, cheza chini
Hehehehe wacha tucelebrete leo
GGMU
Okombe tumechukua… Haters can go drying
Na bado we’re still in the FA CUP AND EUROPA LEGUE.
we Match on.
Mzee Mjinga vipi??umepotelea wapi…Legend yako bado ninayo.
Atleast barca imeshinda despite using a strange formation.
Sioni Arsenal ikichukua trophy yoyote this season
Ilikuwa unasema Nini? Asking for myself
Zlatan this season:D:D:D
[ATTACH=full]85801[/ATTACH]
wenger still creating his squad
Ziko wapi zile kuku zilikuwa zinanitusi nikisema venye Ibra atakuwa akifunga mabao…kwanza header…Malenge nyinyi…:D:D:D
[SIZE=6]#GGMU
kikombe na sahani kwa cabinet sasa ya europa na fa tufungue sherehe…[/SIZE]
Lakini tusisahau the saints were denied a clean goal, anyways ata kikombe ya plastic ni kikombe, congrats to MU
Yeah, lakini the match was somehow ill-tempered.
Hater kiwaru… Wewe chukua hiyo kikombe yako ya plastic ukawekewe ribena na mathe
Kawaida when barca play athletico
Cheza chini, nimesema congrats
Timu za Spain like to whine and surround the ref when decisions don’t go their way. Just like North African teams.
Yes ni tactic ya kupressure ref just like chelsea used to do when under Mou
how arsenal fans use barca as scape goat when things go soar for their team…They want to talk football but the team gives them nothing to talk about…barca comes in.typical arsenal fans…