Manchester united fans what’s your prediction on today’s game?[ATTACH=full]495424[/ATTACH]
lazima revenge leo after kupikwa zile bao mbili za mapema
Man u wakilala I will be the happiest man ever…:D:D
[ATTACH=full]495433[/ATTACH]
Emery acheze kama fainali leo baaas, Manjesta yanaited can win,lose or draw for all I care
Wakinyukwa itakuwa fiti saidi. @Wanaruona na @Electronics4u wako milimani kufanya maombi. Hawajakula kitu since last game.
Atuna vita na wao, all the best wakipambana na Newcastle
fair play to super coach10hug bana, tupatane semifinal ya CL next season tumunyoroshe tukienda kubeba
hii mnanyoroshwa
Sina maoni kabisaa,
Garnacho amefanya ile kitu…
We love Manchester! Glory glory…
Sasa tutegee City waekwe kitu… Manjesta yunaitedi timu kubwa.
Rashford offside bao ya tatu…nguu
…
[ATTACH=full]495457[/ATTACH]
Manchester united labda tupigwe na baridi
@uwesmake ni umbwaaaaaaaaa, Man City itawanyorosha on Wednesay, kikombe imeenda
Weee tulia hapo, arsenal hawajasema wanataka kikombe wamesema wanadai kushinda all their remaining games, nyinyi ndio mtaamua kuwapatia kikombe au la. One game at a time.
Maguire aache kucheza na De Gea na Rashford ametulia tu.