Brighton & Hove Albion F.C. ummmbbbbbwaaaaaa ghasssseeeerrrrr
Mujamaa nlikuwa nshaanza kukunja mkia kama zile khasia za Tuchel, wacha katambe sasa
ndio nimeland wadau kunaendaje?
Ni muhimu, atleast hio swara ilikaa mbali na team kubwa
Bado hiyo ghasseer iko mafichoni? ati anangoja ku tulie :D:eek:
Itatupata tu apa, we aint going nowhere