Manchester inaua nyoka

Magpies 1 Red Devils 3

1-1

It’s a tense game so far. Wout Weghorst can’t score for shit

Newcastle wana ubaya sana, lakini ni kama wameshindwa kuingiza ndaniii, predict a draw

:D:D:D:D

:D:D:D:D:D Joe Wilock anafanya KAZI tumemtuma…

Sasa kwanini Ten hag alichange center backs? Man Utd wamefungwa ya pili:D:D

Njegeee zimefika mbili @Wanaruona mkamba @chap @kush yule mnono

Timu ni njengaa

Hehehe.
Sina maoni kabisa.

Guardiola acheze kama yeye aachie kijana yake arteta abebe okombe

Scumchester beaten like a burukenge. You love to see it

:D:D:D:D:D umbwaaaaa @irobilyf @Wanaruona @kush yule mnono @father Kagwesh fungeni hizo mdomo zenyu refu za wamama

Nikama Carabao cup ilileta swara, since lifting that plastic cup united hasn`t scored a goal or win any game in the Premier league.

Man u the title pretenders…:D:D:D

Hehe boss leo tumenyoroshwa si ati nini. Mctominay, Weghorst out.

Huyu nugu ameweka hii thread aliweka swara achidwo

Title contenders sasa wako 22 points behind title pretenders:D:D:D:D.

Chieth swara wewe KWFT mkiwa na @Sambamba

TIMU IKO NJEGAA NA NI MIMI NIMESEMA