Manchester Derby official thread

Final results…
Wacha sasa Katambe…
[ATTACH=full]56819[/ATTACH]

Sisi Kama wana wa Wenger leo tuko nyuma ya man city.

Tuko Pamoja hapo officer

Hehehe…No brainer

Hii itakuwa stalemate

Kuna vile btw…

[ATTACH=full]56820[/ATTACH]
Niko kati kati mi si mse EPL but hizi team mbili ni zangu za fifa

#GGMC

Man U wameona moto adi mimi nimestuka!

Tiki taka tiki taka, guza enda guza enda

Pogba wapi?

Rooney wapi?

Baily wapi?

Blind… kama jinake tu

Kama sio hio blunder ya jagoal bana, io inawapatia morale na utaona wanaeza komboa kwa hii game.

Lakini io first half imeonyesha kitu moja, bado man u ni choo, wamechezewa kama ihii

DE BRUYNE!! msee soma lebo

For those who get it.
Fellaini.
[ATTACH=full]56825[/ATTACH]

Draw

That Man Shitty goalkeeper is a total disaster

Hehehe… I get it… But Leo inakaa imekwama kwa matope…

Very soon Pep will suffer the consequences of letting Hart go on loan. Claudio has never been the best…

Weee meffi, enda ushughulike Na mechi ya Yanga; Maghufhulhi naskia ataban mechi zote zisizo za Tanzania…

Yeah, nasty elbow fellaini…

Miguso miguso Tu…
Hapa Wenger ajitayarishe… Pep moto wa kuotea mbali…

Unbeaten record====================================================>

Lazima kwanza tujenge TZ. Pole pole mkaza mkaza tutaingia mechi za world cup

Hiyo handshake questionable . am waiting for end of season derby and see the handshake . Kudos man city . Man U revenge ni kwa gooners and no handshake for whiner wenger