Man United VS Aston villa

What is that heading…?

Edit.

Should read, “Will man u win the league?”

Siku watch hiyo game Wadau.
Nilikuwa kwa fombe na wazae wengine..

But .

Happy Lewis Hamilton GIF by First We Feast

2 Likes

Team yenu imekuwa njega. Utaona board ya man u wakitafuta another manager, they are not used to winning.

3 Likes

Siku hizi uko na mbaya-mbaya! :joy::joy:

Niulize: wewe na Wife bado mko tight?

Happy Smirk GIF by Baby Keem

1 Like

Yeah, tuko tight vile inafaa. Unajua tu mwa Arsenali.. akiona mu manjesta juwa anaona nka ameona ALshabab ni attack atack kabla niwe ambushed.. but huwa na good intention, bila huo uhasama weekend zitakuwa boring. Watu wa chelsea tulisha wachana na wao.. watu wa liverpool hata nsha wasahau.. amn city huwa tuna kazi yao but mu manjesta lazima we “fight” kiasi tu

2 Likes