Man United supporters wako tayari

Arimis out of stock on all outlets courtesy of Man U busybodies.

Leo tuko nyuma ya Haaland.

Man Shitty inatandika nyoka 6 Nil nyumbani kwao.

1 Like

10 hugs is trying hard to determine the best formation that can beat man city.

72 hours later…

image

A draw will be good for me.

2 Likes

Wewe niwana Arsenali wa aina gani buanaa, si uombe draw kaka

1 Like

Sisi Arsenal tuko nyuma ya ETH. Onana akae ngangari tunyonge the useless Man Shitty

Man-useless kinawaramba 1-0 down. Everyone knows where haland places his penalties.

Mashabiki wa Man U ndio hao wanatoka stadium.

Actually it’s Arsenal hater fans. man-useless fans knew deep in their hearts hawawes make. Kichapo ya 3-0 at home is embarrassing

3 Likes

Relax Wadau
Be thinned by yours.
So far timú ni njegaa.

1 Like

You lucky sijui ku post ma TikTok na memes here. Man-useless Leo mumepigwa ma RKO mbaya

Today Man-useless versus Newcastle at 11 PM. another kichapo cha mbwakin loading :grin:

Newcastle inatandika nyoka 3 Nil nyumbani kwao.

Sisi tunatandika West Ham 8 Nil nyumbani kwao.

we shall have peace and quiet. Man-useless and Arsenal fans wametulia kama.maji Kwa mtungi :grin:

Our eyes on the prize, carabao sio kikombe

Off side merchants mko wapi?

Kiburi FC mtatupigia kelele sana this week juu ya 1-0 win ya bahati

Congratulations Fernandez

Monday mko na Tottenham

Kichapo ni cha umbwa

We shall be here no matter what. Sisi ni kukazia big teams. Congratulations lakini for the narrow win

1 Like

Man Useless wameponea. 1 Nil against katimu kadogo kama Fulham sio kitu ya kishangilia.

Next ni Arsenal. Tunacharaza Newcastle 7 Nil nyumbani kwao.