MAN U VS ARS

Man U watatandikwa nyumbani kwao.

Game itaisha Man U 1, ARS 4.

Wekelea rent, savings, na school fees ya watoto.

2 Likes

Leo Chelsea tuko nyuma ya Arsenal. We need that Europa spot… Arsenal Leo piga hao watu kama burukenge.

2 Likes

TimĂą ni Njegaa
TimĂą ni Njegaa
TimĂą iko chonjo.
Niko na team yangu Wadau…Kufa kuona

Leo tunapipinya jitu

Season 21 Wow GIF by The Voice

1 Like

We will support your Ka team when you play Newcastle in 2 days time

5 Likes

Mazee club zote zimejaa

1 Like

Uko wapi kwani?

2 Likes

Thika road tho if Man-useless are mauled by half time natoka.

Enda nyumbani sasa

1 Like

Will Ferrell Agree GIF

1 Like

Net ni mbaya saidi faak!

2 Likes

By the way the net today imekuwa too slow.

1 Like

Houthi wamekata cable

4 Likes

Man u is absolutely trash

2 Likes

Leave our team alone.

Right now we are in crisis.

Tumefanyia nyoka ile kitu

1 Like

I pity Arsenal.
Haki all that hard work halafu you miss out on the trophy on the final match day and by 2 points.

1 Like

Who cares??

Bora tumekalia top of the table tukasumbua watu vile inafaa.

Little wins do the trick for us Arsenal fans.

1 Like

Wacha uchokozi mdau