Man. U Juu

Leo mapingwa Mara 20 wanakamua watu, the blues wakijaribu watapiga draw ,pep na chuki yake kwa yaya atakamuliwa na Watford, Liverpool naona wanatoka draw Tottenham wanakamua MTU.

3 Likes

Mbona wakisii wote huwa wa Man U?

Na wajaruo Arsenal (pia waluhya)

Na wakambodia Chelsea

1 Like

Osa vinya…

Meanwhile Klop sacrifices karius…

1 Like

Mokamba yaa Relax

2 Likes

Na WaKaleo? Doddenham hodspaz?

3 Likes

Omongori…

2 Likes

Arsenal kufikia Christmas watakuwa no.4 ile yao ya kila season

If you can’t see Pogba will be the best midfielder in the world within two years your eyes are painted on. Absolute machine… he’s doing the lords work in that midfield

5 Likes

Hii mambo ya kuwalazimisha wawe number 1 na hawajazoea haileti…kamwe!

3 Likes

Wenger aprofesonal failure

specialist in failure :smiley:

1 Like

Pogba ni all round. He can cross accurately with his left and right foot and shoot accurately with both feet too. He can defend, he can attack, he can dribble…and his only 23years old. The future is bright manze…

1 Like

Reminds me of Ruud Gullit…

1 Like