man city thrashed

kwani kila mara kompany akiwa injured lazima man city watandikwe

Real thrashed, pressure mounting on benitez

Benitez aende madrid waandike nani job ?

Mourinho

liverpool damu

1 Like

Ni ngumu, considering how he left the club.

mafans wa liverfool mmeanza kutokekelezea

3 Likes

hawa ni mafans wa arsenali na manu

You Will Never Walk Alone

Benitez was never going to last at Madrid but they have gone through almost every top notch manager watatafuta nani sasa

WENGER, LAKINI HATUMUWACHIII . WENGER AKIENDA MADRID ANAWEZA SHINDA KILA CUP MPAKA WORLD CUP

1 Like

Klopp amefanya watu wa liverpool waanze kubelieve again