Man cave manenos: making pork and ugali lunch

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Njoga venye atahara kesho hatajua

Na ujue Mbuta ni bonobo kamiki anapiga picha akimwaga mafuta.

Watu wanahurumia roho ya @Jura aka @ChifuMbitika juu ya cholesterol badala wahurumie upweke wake jamani? Chifu ako na mancave kwa kitongonji duni…

Msamiati haswa ni uchochole. For upweke, he has hoodrats to keep him company but in poverty, he is all alone. Ama you meant ako na upweke kwenye uchochole?

Mbuta I would suggest uache kazi unafanya msee uende kwa street na iyo sahani ya ugali ubeg tu bana.

Kenyatalk is full of peasants and slumdwellers like kìpii @Oti The Gargantuan aka jimit and githurai massive guy @Brayo44ki

Abebe ugali pia aende nayo ama akule kwanza ndio aende begging?

Ndo unajua leo?

Si naona already ashamaliza kukula amewachia his fellow friends kombamwiko na panya kiasi wakikuja kumkeep company pia wajinice.

He has @Jura for company, ati uchochole?umeharibu kabisaaa mkuu. Hii outage ya mbirionea chifumbuta imepita ya ule mwingine wa Monaco @Mianomuchiri aka Mimi humwagiwa ndaniiiiii

chifumbitika=jura=electronics4u= kijana wa thirty something years working as a salesman in a certain company

@ChifuMbitika umeanikwa kama chef bonoko @Gio

Sadness of life

:D:D:D:D

Na shifo wewe ni mpishi hodari kweli kweli…mimi kwa upishi najijua ni D-minus material :D:D

Umewacha wapi tu waru

@ChifuMbitika kam nikuingize wash wash cartel. villagers wamekuingilia sana na mini being philantropic naeza saidia kuinua maisha yako

How miserable are you? Kama pork ya 100 can get you this excited.

:D:D:D